Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wenyeviti waapishwa kwa mabomu Dar

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura
Hafla ya a kuapisha wenyeviti wateule wa serikali za mitaa wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, jana ilitawaliwa na mapambano na kulilazimisha Jeshi la Polisi kuingilia kati kwa kutumia mabomu kurejesha amani huku likiwatia mbaroni watu saba.

Hafla hiyo iliingia dosari baada ya wananchi kuvamia eneo la uapishaji na kuanza kutembeza mkong’oto na kuwajeruhi wanachama wawili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa madai...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wenyeviti 73 wa mitaa waapishwa

HALMASHAURI ya Mji Kibaha imeapisha wenyeviti wa mitaa 73 na wajumbe 365, ikiwa ni ishara ya viongozi hao kuanza kazi rasmi.

 

10 years ago

GPL

WENYEVITI NA WAJUMBE WA SERIKALI ZA MITAA KUTOKA KATIKA MAJIMBO YA ILALA, UKONGA NA SEGEREA WAAPISHWA LEO

Baadhi ya Wajumbe wa Serikali za Mitaa waliopatikana katika Uchaguzi uliofanyika hivi karibuni kutoka katika Majimbo ya Ilala,Ukonga na Segerea wakila kiapo mbele Wakili wa Serikali kwenye Ukumbi wa Arnautoglo,Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo.
Baadhi ya Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliopatikana katika Uchaguzi uliofanyika hivi karibuni kutoka katika Majimbo ya Ilala,Ukonga na Segerea wakila kiapo mbele Wakili wa...

 

10 years ago

Michuzi

Wenyeviti na Wajumbe wa Serikali za Mitaa kutoka katika Majimbo ya Ilala,Ukonga na Segerea waapishwa leo

 Baadhi ya Wajumbe wa Serikali za Mitaa waliopatikana katika Uchaguzi uliofanyika hivi karibuni kutoka katika Majimbo ya Ilala,Ukonga na Segerea wakila kiapo mbele Wakili wa Serikali kwenye Ukumbi wa Arnautoglo,Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo. Baadhi ya Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliopatikana katika Uchaguzi uliofanyika hivi karibuni kutoka katika Majimbo ya Ilala,Ukonga na Segerea wakila kiapo mbele Wakili wa Serikali (hayupo pichani) kwenye Ukumbi wa Arnautoglo,Mnazi Mmoja jijini...

 

10 years ago

Mtanzania

Ngumi, mabomu uapishaji wenyeviti wa mitaa

Pg 1

Na Aziza Masoud na Ferdnanda Mbamla, Dar es Salaam
ENEO la Riverside Ubungo jijini Dar es Salaam, jana liligeuka uwanja wa mapambano baada ya polisi kutumia risasi za moto na mabomu ya machozi ili kunusuru hafla ya kuapishwa wenyeviti wa Serikali za Mitaa katika Wilaya ya Kinondoni.
Dalili za kuibuka kwa fujo zilianza kuonekana kwa wananchi waliokuwa wamekusanyika nje ya hoteli ya Land Mark ambako hafla hiyo ilipangwa kufanyika, waliokuwa wakipinga kuapishwa kwa waliokuwa wagombea uenyekiti...

 

10 years ago

GPL

POLISI DAR WAZIMA VURUGU KWA MABOMU YA MACHOZI

Polisi jijini Dar es Salaam wamelazimika kufyatua risasi hewani na kupiga mabomu ya machozi kufuatia kuibuka kwa vurugu katika hoteli ya Land Mark ambapo shughuli ya uapishaji wa wenyeviti wa Serikali za Mitaa ulikuwa ukifanyika. Vurugu hizo, zimeibuliwa na kambi ya upinzani ambayo ilikuwa ikilalamikia kuwa Mwenyekiti mmoja wa Chama tawala CCM aliyeapishwa hakuwa ameshinda katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, uliofanyika mwaka...

 

10 years ago

GPL

MACHINGA DAR WASAMBARATISHWA KWA MABOMU YA MACHOZI KARUME

Baadhi ya wananchi na machinga wakikimbia. Hali ilivyokuwa baada ya…

 

10 years ago

GPL

VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA WAAPISHWA DAR

Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Mussa Natty, akiongea na wanahabari katika hotel ya Landmark Ubungo jijini Dar leo.…

 

9 years ago

Mwananchi

Makatibu wakuu na manaibu wao waapishwa Dar

Rais John Magufuli leo amewaapisha makatibu wakuu na naibu makatibu wakuu katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani