Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MO apata wapinzani Chadema

tundu2

Na Nathaniel Limu, Singida

WANACHAMA watatu wa Chama Cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Singida, inadaiwa wameonyesha nia ya dhati kumng’oa Mbunge wa jimbo la Singida Mohammed Gullam Dewji, katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani.

Wanachama hao ambao inadaiwa wana uwezo mkubwa wa kulipaisha kimaendeleo jimbo hilo ni aliyewahi kuthubutu kumwangusha Dewji kwenye uchaguzi mkuu uliopita na kuangukia pua, Josephat Isango (kwa sasa ni mwandishi wa habari wa gazeti la...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Sitta apata wapinzani uenyekiti Bunge la Katiba

Wakati Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta akichukua kwa mbwembwe fomu za kuwania nafasi ya uenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba jana, wajumbe wengine watatu nao wamejitokeza kuwania nafasi hiyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Chadema: Rais JPM anatekeleza sera za wapinzani

Wakati Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, John Magufuli akionekana kuteka hisia za Watanzania wengi, Chama  cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),  kimesema hakishtushwi kwani amekuwa akitumia  hoja, mikakati na Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

VIDEO: Chadema Yamvaa Bulembo Aliyesema CCM Haiko Tayari Kukabidhi IKULU Kwa Wapinzani

Sunday, September 20, 2015 KAULI ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo kwamba “CCM haitafanya makosa kukabidhi Ikulu kwa wapinzani” imezua mjadala. Bulembo alitoa kauli hiyo kwenye mkutano wa kampeni […]

The post VIDEO: Chadema Yamvaa Bulembo Aliyesema CCM Haiko Tayari Kukabidhi IKULU Kwa Wapinzani appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mwananchi

Mgombea ubunge wa Chadema Dodoma mjini apata dhamana

Ulinzi mkali leo umewekwa katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Dodoma ili kuzuia wafuasi wa Chadema waliokwenda kusikiliza kesi inayomkabili mgombea ubunge wa jimbo la Dodoma mjini Benson Kigaila na kusababisha lango la kuingilia lifungwe.

 

10 years ago

Vijimambo

MGOMBEA CHADEMA MTAA WA MIGOMBANI SEGEREA, JAPHET KEMBO AWAGARAGAZA WAPINZANI WAKE KWA KUPATA KURA 510

Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Mtaa wa Migombani Kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) Japhet Kembo akifurahia huku akipongezwa na wanachama na wapenzi wa Chadema mara baada ya kuibuka mshindi wa Kiti cha Mwenyekiti kwa Kupata Kura 510 huku CCM wakiwa wamepata kura 215 na NCCR kupata kura 205 Mawakala wa wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Migombani wakihesabu kura ambapo sanduku hilo ndio lilikuwa sanduku la mwisho kuhesabiwa katika Kituo cha...

 

10 years ago

Michuzi

MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014:FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA, PROFESA ABDALLAH SAFARI MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA BARA

 Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano  mkuu wa chadema Wakicheza kwa furaha muda mfupi baada ya matokeo ya Uchaguzi kwenye Mkutano Mkuu Kutangazwa Usiku huu Freeman Mbowe akiwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA  kwa kumchagua tena kushika nafasi ya mwenyekiti Mshindi wa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akipongezwa na Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa Makamu  Mwenyekiti wa Chadema Bara Profesa Abdallah Safari(Kulia)na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe wakipungia kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani