MO MUSIC: Muziki wangu unajiuza
NA MAULI MUYENJWA
MSANII wa Bongo Fleva, Moshi Katemi ‘Mo Music’ amesema muziki wake unajiuza wenyewe na kumpa umaarufu na mkwanja kitu kinachomfanya asitumie skendo kupushi game yake.
Akipiga mastori na Swaggaz, Mo Music alisema kumekuwa na uvumi kuwa amezama kwenye dimbwi zito la mapenzi
na mwandishi wa habari kwenye moja ya redio maarufu hapa mjini kitu ambacho hakina ukweli.
“Sijawahi kuwa na mpenzi mwanahabari, ingawa nafahamiana na wengi ambao tumefahamiana kwa ajili ya kazi
tu,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMENINAH: NAOGOPA MAPENZI YATAVURUGA MUZIKI WANGU
5 years ago
Bongo514 Feb
Safari ya muziki wangu imejaa maumivu na vilio – Q Chief
Muimbaji mkongwe wa muziki Q Chief amesema show yake ya ‘Miaka 15 ya Q Chief’ katika muziki inayotarajia kufanyika April 30 katika ukumbi wa Next Door, Masaki, jijini Dar es salaam itakuwa ni show ambayo itabeba mambo mengi yakumtoa machozi kutokana na changamoto alizozipitia katika maisha ya muziki.
Akiongea na Bongo5, Q Chief amesema atatumia show hiyo kumtambulisha mama watoto wake kama miongoni mwa watu waliompigania katika nyakati zote.
“Show hii itakuwa ni burudani lakini pia naweza...
9 years ago
Bongo508 Dec
Muziki wangu utapata thamani zaidi nikifa – Q-Chief
Mkali wa ‘For You’, Q-Chief, amesema kuwa hata kama akifa leo muziki wake utapanda thamani mara dufu kutokana na nyimbo zake kuwa nzuri.
Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, kuwa uwezo wake wa kutunga nyimbo za kuishi muda mrefu utawafanya wanae waishi maisha mazuri baadaye.
“Mimi sikupiga muziki ambao ni bubble gum, mimi nimepiga muziki unaoishi kuliko maisha yangu. Nikifa leo value yangu inakuwa mara tatu ya mimi kuwa hai, and therefore unaweza hata...
10 years ago
CloudsFM12 Nov
NAY WA MITEGO: SITAKI WATOTO WANGU WAFANYE MUZIKI
Staa wa Bongo Flava ambaye ana tuzo ya wimbo bora wa Hip hop, Nay Wa Mitego amefunguka kuwa hataki watoto wake wawe wanamuziki kama yeye. ‘’Mimi ni mwanamuziki na nimepata mafanikio kupitia kazi hii lakini sitaki watoto wangu wawe wanamuziki’’,alisema Nay Wa Mitego.
9 years ago
Bongo522 Oct
Malumbano kati ya mashabiki wa Alikiba na Diamond yanaathiri muziki wangu — Abdul Kiba
11 years ago
GPLMASOGANGE, WAKISEMA UNAJIUZA UTAKATAA?
9 years ago
Bongo522 Dec
Music: Ruby Band – Mke Wangu
Wimbo mpya kutoka kwa Ruby Band unaitwa “Mke Wangu”, Studio Chaidaz Records Producer Abdy Dady
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Bongo526 Feb
New Music: Heri Muziki — Watu