Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Modewji blog inawatakia heri ya miaka 51 sherehe za Mapinduzi Zanzibar

Karume Poster c19xx

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HERI YA MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KUTOKA NGOMA AFRICA BAND

HERI YA MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBARKUTOKA NGOMA AFRICA BAND Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Bandaka FFU-Ughaibuni yenye makao yake nchi ujerumani,inawatakia kilaheri na fanaka wadau wote katika kuadhimisha miaka 51 ya mapinduziya Zanzibar,mapinduzi yaliyofanyika 12 Januari 1964 ambayo yaliwakomboa wanzibar walio wengi kutoka katika makucha ya Sultan,Mapinduzi yaliyomng'oa Sultan hadi kusahau kiremba kitandani.Tunawapongeza wanzabar katika kuadhimisho ya miaka...

 

10 years ago

Michuzi

HERI YA MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KUTOKA NGOMA AFRICA BAND, UJERUMANI

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni yenye makao yake nchi ujerumani,inawatakia kila heri na fanaka wadau wote katika kuadhimisha miaka 51 ya mapinduzi ya Zanzibar,mapinduzi yaliyofanyika 12 Januari 1964 ambayo  yaliwakomboa Wanzibari  kutoka katika makucha ya Sultan,Mapinduzi yaliyomng'oa Sultan hadi kusahau kilemba kitandani.Tunawapongeza Wanzabari katika kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu. Amani,Upendo ,Umoja na mshikamano ndio msingi...

 

11 years ago

GPL

SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la heshima wakati wa kilele cha sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika Uwanja wa Amani Abeid Karume leo Januari 12, 2014.
Vijana wakiachia njiwa kama alama ya amani wakati wa kilele cha…

 

10 years ago

Vijimambo

JK KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 51 YA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, akisalimiana na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein, wakati wa sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar kwenye uwanja wa Aman, leo Jumatatu Januari 12, 2015JK na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis MwamunyangeJK, akisabahiananna Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi, a.k.a "Mzee Rukhsa"JK akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete katika sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi Zanzibar

unnamed213

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh.Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad katikati ni Waziri Kiongozi Mstaafu wa Zanzibar Mh. Shamsi Vuai Nahodha.(Picha na Freddy Maro wa Ikulu)

unnamed119

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh.Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais Mstaafu Mh Benjamin Mkapa wakati wa maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya  Mapinduzi  Zanzibar zilizofanyika kwenye uwanja wa Amani, Katikati...

 

10 years ago

GPL

RAIS DK KIKWETE KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 51 YA MAPINDUZI ZANZIBAR LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh.Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Mh. Dr. Ali Mohammed Shein. Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh.Dr. Jakaya Kikwete akizungumza na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Mh. Dr. Ali Mohammed Shein.…

 

10 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND INAWATAKIA HERI YA MIAKA 53 YA UHURU wa Tanzania

Bendi maarufu ya muziki wa dansi Ngoma Africa Band almaarufu FFU-Ughaibuni yenye makao nchini Ujerumani,inawatakia kila la heri katika kusherehekea miaka 53 ya Uhuru . Salam hizi za heri ya 9 Disemba ziwafikie watanzania wote walio nyumbani na nje ya nchi.Ngoma Africa band chini ya uongozi wake Kamanda ras Makunja unaweza kuwasikiliza pia katika kambi yao ya FFU-ughaibuni bofya http://www.ngoma-africa.com pia at https://itunes.apple.com/album/id947329929 au ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani