MONICA LEWINSKY AVUNJA UKIMYA KUHUSU MAHUSIANO YAKE NA BILL CLINTON
![](http://api.ning.com:80/files/q34XLvoT5Yh4dCPHV6KZ*T1nccQwLo5CfkwVMkbp8vtfZ8ityX-aUhM5GOUEZEenCRkI7h-TYy6ggsqCwnmNEj1QHDiF190*/MonicaLewinsky.jpg?width=650)
Monica Lewinsky. WASHINGTON, Marekani BAADA ya miaka 10 kupita toka Monica Lewinsky kuwa katika kashfa ya mapenzi na aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani, Bill Clinton sasa ameamua kuvunja ukimya ambao ulikuwa ukisambazwa na baadhi ya mitandao na vyombo vingine vya habari. Marehemu Tyler Clementi. Monica alitoa ukimya wake kwa…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies20 May
Lucy Avunja Ukimya Kuhusu Ndikumana
Staa wa Bongo Movie ambaye kwa sasa anaishi ughaibuni, Lucy komba ameamua kuelezea tuhuma zinazomkabili za kua na uhusiano wa kimapenzi na Hamad Ndikumana, aliekua mme wa msanii mwenzake Irene Uwoya.Akizungumza na gazeti la sani Lucy ameelezea kwamba hakuna jambo lolote linalowakutanisha na Hamad zaidi ya filamu iitwayo "Kwanini nisimuoe" inayohusisha watu wawili tu.
Lucy alisema walipokua wanarekodi filamu hiyo ndio uvumi mwingi ulianzishwa. Ingawa mashabiki wengi walipinga kuwa...
9 years ago
Dewji Blog25 Dec
Mbunge wa jimbo la Chalinze, Mh. Ridhiwan Kikwete avunja ukimya, afafanua ‘figisufigisu’ dhidi yake!!
![Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akizungumza alipokuwa akifanyiwa mahojiano maalumu na gazeti la Mwananchi, mjini Dodoma hivi karibuni. Picha na Edwin Mjwahuzi](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/12/Kikwete-pc.jpg)
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete. Picha ya Maktaba.
Ndugu zangu waandishi wa habari, nimeamua kuwaita ili kuzungumza nanyi kuhusu baadhi ya mambo yaliyokuwa yanasemwa katika vyombo vya habari kuhusu mimi.
Awali ya yote napenda kusema kuwa habari hizo ni UONGO mtupu, ni mambo yanayozushwa na waandishi wa habari hizo kwa nia ya kuchafua jina langu kwa sababu wanazozijua wanaoandika. UKWELI ni kwamba haya ni mambo yenye kufanywa kwa nia na dhamira mbaya dhidi yangu na hata familia...
9 years ago
GPL14 Sep
10 years ago
GPL19 Mar
10 years ago
BBCSwahili10 Jul
Mo Farah avunja ukimya
10 years ago
Habarileo26 May
Lowassa avunja ukimya
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amezungumzia kwa mara ya kwanza sakata la Richmond lililosababisha ajiuzulu wadhifa huo, akisema alichukua tahadhari katika suala hilo na kuwa ubishi wa kisiasa umeligharimu Taifa kulipa mabilioni ya dola za Marekani.
9 years ago
Habarileo17 Aug
Nchimbi avunja ukimya CCM
MMOJA wa makada wa CCM aliyewania kuteuliwa na chama hicho kuwania Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Dk John Nchimbi, ameibuka na kudai kuwa, hana kinyongo na yaliyotokea Dodoma huku akionesha kuwashangaa wanaoendelea kunung’unika, akisema watu wa aina hiyo hawakuwa pamoja na chama.