Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nchimbi avunja ukimya CCM

MMOJA wa makada wa CCM aliyewania kuteuliwa na chama hicho kuwania Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Dk John Nchimbi, ameibuka na kudai kuwa, hana kinyongo na yaliyotokea Dodoma huku akionesha kuwashangaa wanaoendelea kunung’unika, akisema watu wa aina hiyo hawakuwa pamoja na chama.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mo Farah avunja ukimya

Mwanariadha Mo Farah amewajibu wakosoaji wake kwa vitendo kwa mbio za mita elfu tano za Diamond na kuibuka kidedea .

 

10 years ago

Habarileo

Lowassa avunja ukimya

Waziri Mkuu wa zamani, Edward LowassaWAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amezungumzia kwa mara ya kwanza sakata la Richmond lililosababisha ajiuzulu wadhifa huo, akisema alichukua tahadhari katika suala hilo na kuwa ubishi wa kisiasa umeligharimu Taifa kulipa mabilioni ya dola za Marekani.

 

10 years ago

Habarileo

Pinda avunja ukimya alivyokatwa Dodoma

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amesema hawezi kuhama Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuwataka waliohama baada ya kubwagwa kwenye kinyang’anyiro cha kugombea urais, kujiuliza iwapo wataihama nchi wakishindwa kufanikisha malengo yao huko walikohamia.

 

10 years ago

Habarileo

Mwinyi avunja ukimya kilichotokea Dodoma

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na viongozi na wananchi akiitikia dua iliyoombwa na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Shehe Khamis Haji, baada ya kumalizika kwa swala na hutba katika viwanja vya Maisara Suleiman leo. (Picha na Ikulu ya Zanzibar).RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amevunja ukimya kuhusu namna mchakato wa kumpata mgombea urais wa CCM, ulivyokuwa mkoani Dodoma mpaka akapatikana Dk John Magufuli.

 

10 years ago

Bongo Movies

Lucy Avunja Ukimya Kuhusu Ndikumana

Staa wa Bongo Movie ambaye kwa sasa anaishi ughaibuni, Lucy komba ameamua kuelezea tuhuma zinazomkabili za kua na uhusiano wa kimapenzi na Hamad Ndikumana, aliekua mme wa msanii mwenzake Irene Uwoya.Akizungumza na gazeti la sani Lucy ameelezea kwamba hakuna jambo lolote linalowakutanisha na Hamad zaidi ya filamu iitwayo "Kwanini nisimuoe" inayohusisha watu wawili tu.

Lucy alisema walipokua wanarekodi filamu hiyo ndio uvumi mwingi ulianzishwa. Ingawa mashabiki wengi walipinga kuwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Lampard avunja ukimya, afunga ndoa na Christine

LampardLONDON, ENGLAND

NYOTA wa zamani wa klabu ya Manchester City na Chelsea, Frank Lampard, amefanikiwa kufunga ndoa juzi na mke wake ambaye ni mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha BBC nchini England, Christine Bleakley.

Kiungo huyo wa zamani wa timu ya Taifa ya England mwenye umri wa miaka 37, ameamua kukamilisha ahadi yake baada ya kukaa kwenye uchumba kwa miaka minne na Christine.

Ndoa hiyo ilifungwa kwenye Kanisa la St Paul’s lililopo Knightsbridge, jijini London, ambapo wachezaji...

 

11 years ago

GPL

MONICA LEWINSKY AVUNJA UKIMYA KUHUSU MAHUSIANO YAKE NA BILL CLINTON

Monica Lewinsky. WASHINGTON, Marekani
BAADA ya miaka 10 kupita toka Monica Lewinsky kuwa katika kashfa ya mapenzi na aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani, Bill Clinton sasa ameamua kuvunja ukimya ambao ulikuwa ukisambazwa na baadhi ya mitandao na vyombo vingine vya habari. Marehemu Tyler Clementi. Monica alitoa ukimya wake kwa…

 

9 years ago

Michuzi

MHE. RIDHIWAN KIKWETE AVUNJA UKIMYA, AZUNGUMZIA MAKONTENA NA MALI ANAZODAIWA KUMILIKI..

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwan J. Kikwete.
Ndugu zangu waandishi wa habari, nimeamua kuwaita ili kuzungumza nanyi kuhusu baadhi ya mambo yaliyokuwa yanasemwa katika vyombo vya habari kuhusu mimi.
Awali ya yote napenda kusema kuwa habari hizo ni UONGO mtupu, ni mambo yanayozushwa na waandishi wa habari hizo kwa nia ya kuchafua jina langu kwa sababu wanazozijua wanaoandika. UKWELI ni kwamba haya ni mambo yenye kufanywa kwa nia na dhamira mbaya dhidi yangu na hata familia yangu.
Hivi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani