Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MOTO WA AJABU WAMUUNGUZA SEHEMU ZA SIRI

Doto Omari kushoto aliyeunguzwa na moto wa ajabu sehemu za siri. Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela KATIKA tukio linalohusishwa na ushirikina, mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Doto Omari (30, pichani) ameunguzwa na moto wa ajabu sehemu zake za siri. Moja ya jeraha alilolipata. Tukio hilo la aina yake lilitokea alfajiri ya Machi 16 mwaka huu,   Mwananyamala – Kichangani, Dar,  wakati… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Ammwagia mumewe maji ya moto usoni, sehemu za siri

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda MKAZI wa Kitongoji cha Mfinzi kijiji cha Chala wilayani Nkasi, Zelena Kiozya (55) anadaiwa kumuua mumewe Evod Teola (62) kwa kummwagia maji ya moto mwilini mwake.

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

GPL

MAAMBUKIZI YA FANGASI SEHEMU ZA SIRI -2

WIKI iliyopita tulieleza matatizo ya fangasi sehemu za siri na jinsi wanavyowasumbua waliokumbwa na maradhi haya, tunaeleza ni wanawake gani hupatwa na tatizo hili. Leo tunaendelea kuwaelimisha na tunaanza kufafanua wale wanaopatwa na ugonjwa huu, endelea: Wengine wanaopatwa na fangasi hawa sehemu za siri ni wale wanaotumia sana dawa za kuua bakteria (antibiotics, steroids) ambazo zina tabia ya kushusha kinga ya mwili.Mabadiliko...

 

10 years ago

GPL

MAAMBUKIZI YA FANGASI SEHEMU ZA SIRI

Kati ya maambukizi yanayowasumbua wanawake wengi duniani ni maambukizi ya fangasi sehemu za siri. Maambukizi ya fangasi katika sehemu za siri za mwanamke husababishwa na uwepo wa fangasi wanaojulikana kitaalamu kama Candida Albicans ambayo pia hujulikana kama Yeast Infection au Thrush. Fangasi hupatikana kama vimelea vya kawaida katika mdomo, mpira wa kupitisha chakula sehemu inayojulikana kama Pharynx, katika kibofu cha mkojo,...

 

10 years ago

GPL

MAAMBUKIZI YA FANGASI SEHEMU ZA SIRI -3

WIKI iliyopita tulieleza madhara ya fangasi zehemu ya siri na jinsi ugonjwa huo unavyosumbua wanawake.
Leo tunaendelea kuelezea fangasi sehemu za siri wanavyosumbua na tuliahidi kwamba tutaeleza tiba yake.
Baada ya kueleza mengi kuhusiana na ugonjwa huu leo tutaeleza matibabu yake ambayo huusisha dawa za kutibu fangasi (antifungal drugs) kama vile dawa za kupaka za Topical Clotrimazole, Topical Nystatin, Fluconazole au...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kukata, kuharibu sehemu za siri

KAMA kawaida tunaanza makala hii na kishtua mada kwa kuwasikiliza washikaji wawili wakijadili jambo na kutuachia ujumbe. Mshikaji 1: Nasikia huko kwenu Mtwara ni washindi wa mambo mawilil; kuwa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kukata, kuharibu sehemu za siri — 3

KAMA kawaida tuanze na kishtua mada kutoka kwa washkaji wawili. Mshikaji 1: Juzi Siku ya Wapendanao tulikubaliana na mchumba wangu kwamba kwa kuwa tutaoana; tusifichane siri. Nilimwambia siri yangu kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani