Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MOTO WATEKETEZA MADUKA MANZESE DARAJANI DAR!

Moshi ukiwa umetanda Manzese Darajani wakati moto ukiendelea kuwaka na kuteketeza baadhi ya Maduka ya Manzese Darajani jijini Dar. Watu waliojitokeza kushuhudia tukio la moto Manzese wakiwa wamepanda darajaji.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Moto wateketeza nyumba, maduka Dar

NYUMBA moja imeteketea kwa moto na nyingine vyumba viwili wakati moto huo ulipozuka ghafla kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam jana. Katika tukio la kwanza, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura alisema moto uliteketeza nyumba moja yenye vyumba 12 eneo la Mwananyamala A juzi saa 5.30 asubuhi.

 

10 years ago

GPL

MOTO WATEKETEZA VIWANDA, MADUKA ENEO LA KIBANGU JIJINI DAR

Moto ukiteketeza maduka yaliyokuwa jirani na viwanda vilivyoteketea Kibangu. Vibanda vikiteketea kwa moto eneo hilo.…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Moto wateketeza maduka Tanga

MADUKA manne yameteketea kwa moto kutokana na hitilafu ya umeme barabara ya 14 jirani na stendi ya mabasi yaendayo mikoani jijini Tanga, usiku wa kuamkia jana. Moto huo uliozuka majira...

 

10 years ago

Mtanzania

Moto wateketeza maduka, nyumba Tanga

pg1

NA AMINA OMARI, HANDENI
NYUMBA nane na maduka 30 vimeteketea kwa moto baada ya gari la mafuta lenye namba za usajili T 870 NFB kugonga nguzo ya umeme na mafuta kumwagika hali iliyosababisha kulipuka kwa moto.
Moto huo ulitokea jana katika eneo la Kivesa, barabara ya kuelekea Songe wilayani Handeni.
Imeelezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi uliosababisha lori hilo kupinduka na mafuta kumwagika jirani na makazi ya watu kabla ya kuanza kusambaa barabarani.
Wakizungumza na MTANZANIA,...

 

11 years ago

Mwananchi

Moto wateketeza maduka sita K’ndoni

Tatizo la hitilafu ya umeme limeonekana kuwa chanzo kikubwa cha ajali nyingi za moto zinazotokea wilayani Kinondoni jambo linalosababisha uharibifu mkubwa wa mali na kurudisha nyuma maendeleo.

 

10 years ago

Mwananchi

Moto wateketeza maduka 18, magari na pikipiki Handeni

MOTO mkubwa umeteketeza maduka 18 katika mtaa wa Kwakivesa wilaya ya Handeni mkoani Tanga baada ya lori lililokuwa limebeba mafuta kugonga nguzo ya umeme kupinduka na kisha kuanza kuwaka moto uliosambaa hadi kwenye maduka hayo.

 

11 years ago

Habarileo

Moto wateketeza maduka, nyumba ya Mbunge Makilagi

Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji mjini Dodoma wakijaribu kuzima moto uliokuwa ukiteketeza jengo lenye maduka ya bidhaa mbalimbali katika Barabara ya Nyerere, mjini humo usiku wa kuamkia juzi. (Na Mpigapicha Wetu).MOTO umezuka mjini Dodoma na kusababisha maafa katika maeneo mbalimbali ikiwemo nyumba ya Mbunge wa Viti Maalumu, Amina Makilagi iliyoteketea na mali mbalimbali.

 

11 years ago

Michuzi

Moto wa wateketeza maduka matatu na mgahawa mjini Dodoma usiku wa kuamkia leo

Wananchi wa mji wa Dodoma wakiangalia sehemu ya madhara ya tukio la moto uliotokea usiku wa kuamkia leo katika baadhi ya maduka yaliopo kwenye Barabara ya Nyerere Karibu na Makao makuu ya CCM mjini Dodoma,moto huo umeteketeza maduka matatu na mgahawa wa New Chick Villa Reustaurant. Maduka yaliyoathirika na moto huo ni Gulio La Mahafa Duka lililokuwa linauza bidhaa mbali mbali kwa jumla na reja reja zikiwamo bidhaa za Bakhresa,Duka la Esheki Investment lililo kuwa likiuza bidhaa za...

 

11 years ago

GPL

HII IMETOKEA MCHANA HUU ENEO LA MANZESE DARAJANI JIJINI DAR

AJALI hii imetokea mchana huu eneo la Manzese Darajani jirani na kituo cha Polisi Manzese jijini Dar es Salaam. (PICHA NA MDAU WA GPL,…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani