Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MOTO WAZUKA MACHINGA COMPLEX ILALA DAR ES SALAAM

Tafrani ilizuka katika mchana huu katika jengo la linalotumiwa na wafanyabiashara wadogo, maarufu kwa jina la Machinga Complex lililopo maeneo ya Ilala jijini Dar. Mkuu wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi amethibitisha tukio hilo ambalo chanzi chake ni fundi aliyekuwa akichomea vyumba katika moja ya vizimba vilivyomo katika jengo hilo na kusababisha hitilafu ya umeme, uiliyoleta moto ambao umeunguza vizimba vitatu ndani ya jengo hilo. Hata hivyo moto huo haukudumu kwa muda mrefu kwani...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MOTO WAZUKA JENGO LA MACHINGA COMPLEX LEO

Moto waibuka jengo la Machinga Complex jijini Dar wazimwa kabla haujaleta madhara makubwa. 
Moshi ukiwa umetanda…

 

10 years ago

Michuzi

Breaking nyuzzz.......: Moto wazuka jengo la Machinga Complex leo

Moto waibuka jengo la Machinga Complex jijini Dar; wazimwa kabla haujaleta madhara makubwa.  
Moshi ukiwa umetanda angani

 

10 years ago

Mwananchi

Machinga Complex yaungua kwa moto

Jengo la wafanyabiashara ndogondogo maarufu ‘Machinga Complex’ lililopo Karume, jijini hapa limeungua moto wakati mafundi wakifanya matengenezo ya kupanua vizimba vya biashara katika ghorofa ya tatu.

 

10 years ago

Vijimambo

JENGO LA MACHINGA COMPLEX LAUNGUA KWA MOTO

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa jengo la Machinga Complex la jijini Dar es Salaam limeungua kwa moto. Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana. Tunalifuatilia kwa karibu kuweza kujua chanzo cha moto na madhara yake na itakapofika muda muafaka tutawajulisha habari kamili kwa kina.

 

11 years ago

Mwananchi

Waathirika wa moto Karume wahamishiwe Machinga Complex

Kati ya changamoto kubwa zinazolikabili Jiji la Dar es Salaam ni uhaba wa masoko yenye miundombinu bora.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Machinga watakiwa kwenda Machinga Complex

WAFANYABIASHARA wadogowadogo ‘machinga’ walioondolewa  katika maeneo yasiyo rasmi jijini Dar es Salaam wametakiwa kwenda kufanyia biashara zao  katika jengo la Machinga Complex. Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi ya Machinga Complex,...

 

10 years ago

Dewji Blog

TBL yatoa sh. mil 18 za kusaidia ukarabati wa miundombinu iliyoharibika soko la Machinga Ilala, Dar

01

Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kulia) akimkabidhi hundi yenye thamani ya sh. mil. 18.9, kwa  Mkurugenzi wa Kampuni ya Gotam General Traders, Winner Taluka (wa pili kushoto)  kwa ajili ya kusaidia ukarabati wa miundombinu ya maji iliyoharibika baada ya Soko la Mchikichini Ilala  kuteketea kwa moto. Wanaoshuhudia hafla hiyo iliyofanyika Dar es Salaam jana, kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa soko hilo, Rehema Matali,  Mjumbe wa Kamati ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani