Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Moyo wa starfish hudunda mara sita kwa dakika

Wiki iliyopita tulianza kuangalia mifumo ya fahamu ya samaki jamii ya starfish. Tuendelee kuliangalia suala hilo kwa undani… KUNA baadhi la mirija ya fahamu ya samaki huyu ambayo nayo hutumika...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE WAPEWA MAFUNZO YA MARA KWA MARA KUHUSU UGONJWA WA CORONA (COVID – 19)




Afisa Muuguzi wa chumba cha upasuaji kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Aimana John akiwaelekeza wauguzi wenzake namna sahihi ya kunawa mikono kwa maji safi yanayotiririka na sabuni wakati wa mafunzo ya jinsi ya kupambana na ugonjwa wa Corona (COVID-19) yanayotolewa kwa wafanyakazi wa Taasisi hiyo.Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo...

 

10 years ago

BBCSwahili

'Moyo wangu ulisimama kwa dakika 45'

Moyo wa Ruby Graupera uliacha kudunda kwa dakika 45, madaktari walipokuwa wakimfanyia upasuaji waliwakusanya wanafamilia kwa ajili ya kusema buriani.

 

10 years ago

Mwananchi

Muhimbili kuzibua mishipa ya moyo kwa dakika 45

>Huenda Watanzania wanaougua magonjwa ya moyo wakaepuka kusafiri nje ya nchi kwa ajili ya matibabu baada ya tiba ya kuzibua mishipa ya moyo iliyoziba kufanyika kwa mara ya kwanza nchini.

 

5 years ago

Michuzi

Benki ya CRDB yaichangia Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete sh. milioni 50 kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Prof. Mohamed Janabi mfano wa hundi ya shilingi milioni 50 kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto wanaotibiwa katika Taasisi hiyo, ikiwa ni kukamilisha ahadi yake ya kuchangia kiasi cha shilingi milioni 100 ili ziweze kufanikisha upasuaji wa moyo kwa watoto, makabidhaino hayo yamefanyika leo kwenye Taasisi hiyo,  jijini Dar es salaam.

 

9 years ago

Vijimambo

Madaktari Bingwa wa Moyo toka India , Wanatarijiwa kupambana na ugonjwa wa Moyo wa kuzaliwa kwa Watoto



Na Mwandishi Wetu ,Kutokea kwa ugonjwa wa moyo wa kuzaliwa (CHD) kunatazamwa kwa usawa kwa duniani kote, pamoja na kutofautiana kati ya mikoa na nchi kutokana na maumbile, mazingira na mabadiliko ya kiepijenetiki. Takriban watoto 8 kati 1000 wanaozaliwa wakiwa hai wanazaliwa na CHD duniani kote. Takwimu hii kwa ujumla inaaminika zaidi. Hata hivyo, kutokana na ukosefu wa takwimu sahihi katika bara la Afrika, watoto walioathirika na CHD barani Afrika inaweza kuwa wengi sana.Watoto ...

 

9 years ago

Michuzi

MADAKTARI BINGWA WA MOYO TOKA INDIA, WANATARIJIWA KUPAMBANA NA UGONJWA WA MOYO WA KUZALIWA KWA WATOTO



Na Mwandishi Wetu ,KUTOKEA  kwa ugonjwa wa moyo wa kuzaliwa (CHD) kunatazamwa kwa usawa kwa duniani kote, pamoja na kutofautiana kati ya mikoa na nchi kutokana na maumbile, mazingira na mabadiliko ya kiepijenetiki.
 Takriban watoto 8 kati 1000 wanaozaliwa wakiwa hai wanazaliwa na CHD duniani kote. Takwimu hii kwa ujumla inaaminika zaidi. Hata hivyo, kutokana na ukosefu wa takwimu sahihi katika bara la Afrika, watoto walioathirika na CHD barani Afrika inaweza kuwa wengi sana.
Watoto wenye...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wauguzi ‘vihiyo’ sita watimuliwa Mara

SERIKALI mkoani Mara imewatimua kazi wauguzi ‘vihiyo’ sita waliobainika kuwa na vyeti vya kughushi. Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara, Balthazar Kichimba, amethibitisha tukio hilo, wakati akihojiwa na Tanzania...

 

5 years ago

Michuzi

TAHADHARI KUHUSU WAGONJWA WANAOCHANGISHA FEDHA ZA MATIBABU YA MOYO KWA AJILI YA KUTIBIWA KATIKA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)



Uongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) unapenda  kuutahadharisha  Umma kuwa waangalifu na wagonjwa wanaochangisha fedha kwa ajili ya  kutibiwa katika Taasisi hii. Ndugu Mwananchi, inawezekana wagonjwa hao wanaochangisha fedha za matibabu wanakuwa tayari wamepata  msamaha wa matibabu kutoka kwa Taasisi au wasamaria wema...

 

10 years ago

Vijimambo

Mabadiliko ya mara kwa mara ya Mitaala shule za Msingi inawachanganya wanafunzi.


Fikra Pevu
BAADHI ya Walimu wa Shule za Msingi katika jiji la Dar es Salaam wamelalamikia mabadiliko ya mara kwa mara ya mitaala kwa shule za msingi pamoja na idadi kubwa ya masomo kwa wanafunzi wa madarasa yote na kwamba yamekuwa yakiwachanganya wanafunzi na kuwafanya washindwe kumudu masomo yao.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti na FikraPevu jijini humo Novemba 17, 2014 walimu hao wamesema mabadiliko ya mara kwa mara kwa mitaala yanayofanywa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi bila...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani