MPIGIE KURA GAZUKO KWENYE TUZO ZA AFRICA GOSPEL MUSIC AWARDS
GAZUKO AKIWA KWENYE POZIGazuko ni kijana pekee ambaye anafanya muziki wa injili kwa style ya Hip hop na ni miongoni mwa wasanii wa muziki wa injili wanaoiwakilisha nchi ya Tanzania kwenye Tuzo za Africa Gospel Music Awards kwa kifupi zinajulikana kama (AGMA) ambapo kwa hapa Tanzania mwaka huu wameingia waimbaji kama Rose Mhando,Christina Shusho pamoja na Gazuko...Gazuko ameomba watanzania na wasio watanzania waweze kumpigia kura kwa wingi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziSporah ku-host Africa Gospel Music Awards jumapili Agosti 24, 2014
11 years ago
Michuzi20 Jul
MPIGIE KURA DIAMOND KWENYE TUZO ZA AFRIMMA
Baada ya BET Dimond anarejea tena nyumbani Afrika,akiwa nominated kwenye Tuzo za #Afrimma( AFRICAN MUSIC MAGAZINE AWARDS) awards,zitakazofanyika jijini Richardson, Texas,tarehe 26 july.
akiwa nominated kwenye category 5.Best male East AfricaSong of the year(number1).Video of the year (number 1)Best collabo (number 1 rmx)ft DavidoAnd Best Afrikan Artist of the yearIli ku-vote fuata link hii http://afrimma.com/afrimma-nominees-2014/
Kisha vote kwenye kila category niliyopo.Ahsanteni Hapa chini...
10 years ago
Dewji Blog09 May
11 years ago
GPLMPIGIE KURA MSANII DIAMOND PLATNUMZ KWENYE TUZO ZA MTV MAMA
10 years ago
Vijimambo12 Nov
MPIGIE KURA IDRIS KUBAKI KWENYE JUMBA LA BIG BROTHER AFRICA
10 years ago
MichuziMPIGIE KURA MISS KIGAMBONI (2013) MAGDALENA OLOTU KWENYE SHINDANO LA "NEXT AFRICA SUPER MODAL ULTIMATE SEARCH 2014"
Sasa unaweza kumpigia kura yako kwa Kulike na Kucomment kwenye picha yake iliyoko kwenye ukurasa wa...
10 years ago
Dewji Blog17 Sep
Mpigie kura Miss Kigamboni (2013) Magdalena Olotu kwenye shindano la “Next Africa Super Model Ultimate Search 2014″
Aliyekuwa miss Kigamboni mwaka 2013, Miss Magdalena Olotu amepata nafasi ya kuipeperusha bendera ya Tanzania katika anga za kimataifa, baada ya kuchaguliwa kwenye shindano la kumtafuta Super Model wa Afrika shindano hilo linaitwa “Next Africa Supermodel Ultimate Search 2014″ litakalofanyika Afrika ya Kusini. Shindano hili linawashilikisha wanamitindo mbalimbali kutoka nchi nne za Afrika.
Sasa unaweza kumpigia kura yako kwa Kulike na Kucomment kwenye picha yake iliyoko kwenye ukurasa wa...
10 years ago
GPLMPIGIE KURA MISS KIGAMBONI KWENYE SHINDANO LA 'NEXT AFRICA SUPER MODAL ULTIMATE SEARCH 2014'
11 years ago
Michuzi12 Jul