MPIGIE KURA MISS KIGAMBONI (2013) MAGDALENA OLOTU KWENYE SHINDANO LA "NEXT AFRICA SUPER MODAL ULTIMATE SEARCH 2014"
Aliyekuwa miss Kigamboni mwaka 2013, Miss Magdalena Olotu amepata nafasi ya kuipeperusha bendera ya Tanzania katika anga za kimataifa, baada ya kuchaguliwa kwenye shindano la umtafuta Super modal wa Afrika shindano hilo linaitwa "Next Africa Supermodel Ultimate Search 2014" litakalofanyika Afrika ya Kusini. Shindano hili linawashilikisha wanamitindo mbalimbali kutoka nchi nne za Afrika.
Sasa unaweza kumpigia kura yako kwa Kulike na Kucomment kwenye picha yake iliyoko kwenye ukurasa wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog17 Sep
Mpigie kura Miss Kigamboni (2013) Magdalena Olotu kwenye shindano la “Next Africa Super Model Ultimate Search 2014″
Aliyekuwa miss Kigamboni mwaka 2013, Miss Magdalena Olotu amepata nafasi ya kuipeperusha bendera ya Tanzania katika anga za kimataifa, baada ya kuchaguliwa kwenye shindano la kumtafuta Super Model wa Afrika shindano hilo linaitwa “Next Africa Supermodel Ultimate Search 2014″ litakalofanyika Afrika ya Kusini. Shindano hili linawashilikisha wanamitindo mbalimbali kutoka nchi nne za Afrika.
Sasa unaweza kumpigia kura yako kwa Kulike na Kucomment kwenye picha yake iliyoko kwenye ukurasa wa...
10 years ago
GPLMPIGIE KURA MISS KIGAMBONI KWENYE SHINDANO LA 'NEXT AFRICA SUPER MODAL ULTIMATE SEARCH 2014'
10 years ago
Vijimambo25 Nov
MPIGIE KURA MISS TANZANIA 2013 KATIKA SHINDANO LA MISS WORLD 2014
VOTING HAS OPENED!You can now register your votes for your Favourite contestants on the Miss World App, and its FREE!Download the Miss World App on iOS & Android now and you can vote for your TOP THREE contestants in the competition.
Voting will be open for the next 25 days, closing during the final show.Download the App Here –http://www.missworld.com/TheCompetition/TheMissWorldMobileApp/For more info on the vote Click here...
10 years ago
MichuziMPIGIE KURA BINTI WA KITANZANIA LORRAINE MARRIOT KATIKA SHINDANO MISS GRAND INTERNATIONAL 2014
11 years ago
Michuzi31 Jul
HOYCE TEMU AHAMASISHA WATANZANIA KUMPIGIA KURA MISS TANZANIA USA 2014 KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA MISS AFRICA USA
Mpigie Kura Miss Tanzania USA, Joy Kalemera anayeshiriki kinyang'ayiro cha kumtafuta Miss Africa USA. Mtangazaji wa Mimi Na Tanzania Hoyce Temu ambaye pia ni Miss Tanzania 1999 yupo nchini Marekani na amefanya mahojiano na mrembo huyo.Usikose kuangalia marudio ya mahojiano hayo kwenye kipindi cha "Mimi na Tanzania" Jumamosi ya tarehe 2 August ,2014...
11 years ago
GPLHOYCE TEMU AHAMASISHA WATANZANIA KUMPIGIA KURA MISS TANZANIA USA 2014 KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA MISS AFRICA USA
10 years ago
Dewji Blog17 Nov
10 years ago
Vijimambo12 Nov
MPIGIE KURA IDRIS KUBAKI KWENYE JUMBA LA BIG BROTHER AFRICA
11 years ago
MichuziMPIGIE KURA GAZUKO KWENYE TUZO ZA AFRICA GOSPEL MUSIC AWARDS