Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MPOKI 0 BRAIN!

Stori: JOSEPH SHALUWA
IMETHIBITIKA bila shaka yoyote kuwa msanii aliyebahatika kuwa maarufu wa vichekesho Bongo, Silvery Mjuni ‘Mpoki’ au Bepari la Kihaya ni mjinga yaani 0 brain kwa Kimombo, Gazeti kiongozi kwa habari za mastaa Ijumaa limejiridhisha. Msanii aliyebahatika kuwa maarufu wa vichekesho Bongo, Silvery Mjuni ‘Mpoki’ au Bepari la Kihaya. Hata hivyo, ikiwa msanii huyo ambaye kwa fikra zake...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

11 years ago

Michuzi

Mwarabu wa Dubai a.k.a Mpoki safarini kurejea nchini

Berlin, Ujerumani
Mchekeshaji maarufu   kutoka nchini Tanzania  Muarabu wa Dubai a.ka Mpoki ameondoka nchini Ujerumani kurudi nyumbani Tanzania baada ya ziara yake ya siku 4 kukamilika. Msanii huyo ambaye alifanya ziara nchini ujerumani baada ya kualikwa na Umoja wa wa Watanzania  Ujerumani (U T U) kwa ajili ya Sherehe za muungano wa Tanzania, zilizoambatana na kongamano la kibiashara pamoja na  Mkutano mkuu  wa uchaguzi wa U T U.
Mchekeshaji huyo maarufu kutoka kundi la Orijino Komedi...

 

10 years ago

Bongo Movies

Maneno ya MPOKI Kuhusu Msiba wa Kapteni John KOMBA

Mwigizaji wa vichekesho wa Kundi la Orijino Komedi, Mujuni Sylivery aka Mpoki moja ya vitu ambavyo aliwahi kuvifanya katika kazi yake ya uchekeshaji ni pamoja na kuigiza sauti ya marehemu, Kapteni John KOMBA ambaye amefariki February 28.

Leo Mpoki amesikika kwenye Leo Tena CloudsFM, alianza kuzungumzia namna alivyopokea taarifa za msiba huo; “..Mtu akishatoweka kwenye ulimwengu akifariki dunia inauma kwa sababu mtu unayempoteza leo huwezi kumpata tena.. lakini ukimpoteza mbuzi utaenda...

 

11 years ago

Michuzi

Msanii wa orijino komedi mpoki aalikwa ujerumani kuhudhuria sherehe za muungano

Msanii maarufu nchini Tanzania  Kutoka kundi la Orijino Komedi al maarufu kama Mpoki a k a Muarabu wa Dubai anatarajiwa kuondoka nchini mapema mwanzo wa wiki hii kwenda nchini Ujerumani kuhudhuria  Mkutano mkuu wa Umoja wa Watanzania Ujerumani (U T U), utakaoambatana na Kongamano la kibiashara pamoja na Sherehe za Muungano wa Tanzania , zitakazoanza  siku ya ijumaa tarehe 25.04.14 na kumalizika siku ya Jumamosi Tarehe 26.04.14.
Mpoki amesema kuwa  umuhimu mkubwa wa safari yake ni...

 

11 years ago

Michuzi

mpoki atua ujerumani tayari kwa sherehe za muungano jijini Berlin wikiendi hii

 Msanii Maarufu nchini Tanzania Mpoki a.k.a Muarabu wa Dubai ametua katika Jiji la Frankfurt na kuelekea moja kwa moja katika Jiji la Maraha Aschaffenburg ambapo atalala usiku mmoja na kuendelea na safari siku ya pili  kuelekea  Jiji La Berlin  ambapo atahudhuria mkutano mkuu wa Umoja wa watanzania Ujerumani (U T U), Ngongamano la biashara pamoja na sherehe za muungano wa Tanzania.
Vyanzo vyetu vya habari vinanyetisha kwamba msanii huyo alitua  katika uwanja wa kimataifa  wa Frankfurt...

 

11 years ago

TheCitizen

I am old but my brain is fresh, says Museveni

President Yoweri Museveni has said although he is old, he still has fresh ideas to lead the country.

 

9 years ago

TheCitizen

Meet the brain behind Going Bongo

Ernest Napoleon is a Tanzanian filmmaker, software engineer and architect. He was born in Moscow, Russia but grew up in Dar es salaam, Tanzania.

 

5 years ago

The Guardian

Why your brain is not a computer | Science

Why your brain is not a computer | Science  The GuardianArtificial and Biological Neurons Just Talked Over the Internet  FuturismView Full coverage on Google News

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani