Mwarabu wa Dubai a.k.a Mpoki safarini kurejea nchini
![](http://3.bp.blogspot.com/-wbSHQ4vWK38/U2CXKtWof_I/AAAAAAAFeEw/mJ8pSgxB03A/s72-c/unnamed+(6).jpg)
Berlin, Ujerumani
Mchekeshaji maarufu kutoka nchini Tanzania Muarabu wa Dubai a.ka Mpoki ameondoka nchini Ujerumani kurudi nyumbani Tanzania baada ya ziara yake ya siku 4 kukamilika. Msanii huyo ambaye alifanya ziara nchini ujerumani baada ya kualikwa na Umoja wa wa Watanzania Ujerumani (U T U) kwa ajili ya Sherehe za muungano wa Tanzania, zilizoambatana na kongamano la kibiashara pamoja na Mkutano mkuu wa uchaguzi wa U T U.
Mchekeshaji huyo maarufu kutoka kundi la Orijino Komedi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ugF8R4GTRbo/U-bCS26FV7I/AAAAAAAF-LI/8NjMHQgv1fI/s72-c/uk1.jpg)
RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA MJINI DUBAI WAKIWA NJIANI KUREJEA NYUMBANI
![](http://4.bp.blogspot.com/-ugF8R4GTRbo/U-bCS26FV7I/AAAAAAAF-LI/8NjMHQgv1fI/s1600/uk1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Lc_GFdYyXwE/U-bCUDrj64I/AAAAAAAF-LU/1AbY9n-ufuA/s1600/uk2.jpg)
10 years ago
Habarileo30 May
Tanzania kusaidia amani kurejea nchini Burundi
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema Tanzania itaendelea kusaidia Burundi kurejea katika amani, kwa sababu amani ya Burundi ni amani ya Tanzania.
11 years ago
MichuziTAIFA STARS KUREJEA NCHINI KESHO MCHANA KUTOKA NAMIBIA
Taifa Stars ambayo katika mechi hiyo dhidi ya Namibia (Brave Warriors) ilitoka sare ya bao 1-1 itatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) saa 8.15 mchana kwa ndege ya South Africa Airways.
Timu inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager baada ya kuwasili itakwenda hoteli ya Accomondia kwa ajili...
10 years ago
Mwananchi20 Apr
VURUGU AFRIKA KUSINI: Membe adai hakuna mtanzania aliyeuawa, 21 kurejea nchini
10 years ago
MichuziFly Dubai yazindua rasmi safari zake nchini
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Mhe. Samia Suluhu (Mb.) ameupongeza Uongozi wa Shirika la Flydubai la Dubai kwa kuanzisha safari za ndege za moja kwa moja kati ya Dubai na Dar es Salaam, Kilimanjaro, Mwanza na Zanzibar kwa gharama nafuu.
Akizindua huduma hiyo kwa niaba ya Makamu wa Rais, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, jijini Dar es Salaam, Jumatano tarehe 22 Oktoba, 2014, Mhe. Suluhu alimwambia Makamu Mkuu wa Shirika la Flydubai, Bw. Sudhir Sreedharan, kuwa...
10 years ago
Michuzi18 Sep
Mwenyekiti wa Shirika la Nyumba Serikali ya Dubai afanya ziara nchini
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Q2btdjLrdV0/XsbQrEbfZqI/AAAAAAAAHME/zhLL1CoBjf4WodHtdmKjgFhn_n5w7FKvACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-21%2Bat%2B18.35.21.jpeg)
WATANZANIA 119 KUTOKA DUBAI WAREJEA NCHINI, WAISHUKURU SERIKALI
Ndege ya fly Dubai imewarejesha watanzania hao waliokuwa wamekwama Abu Dhabi (Dubai) tangu 25 Machi 2020 Serikali ya Falme za Kiarabu ilipotoa zuio la kuingia na kutoka kwa ndege.
Ndege hiyo imewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA)...
10 years ago
VijimamboSHIRIKA LA NDEGE LA FLY DUBAI WAZINDUA SAFARI ZAO NCHINI TANZANIA
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-zpCBVBd3U2U/VkMdP5nwhgI/AAAAAAAIFSw/9QHi-bYCpqw/s72-c/eden8.png)
TAIFA STARS KUREJEA NCHINI LEO, YATARI KWA MTANANGE DHIDI YA MBWEHA WA JANGWANI JUMAMOSI HII
![](http://1.bp.blogspot.com/-zpCBVBd3U2U/VkMdP5nwhgI/AAAAAAAIFSw/9QHi-bYCpqw/s640/eden8.png)
Stars iliyokuwa imeweka kambi nchini Afrika Kusini kwa takribani siku 10, inarejea nyumbani ikiwa imefanya mazoezi vizuri kujiandaa na kuwakabili Mbweha wa Jangwani Algeria siku ya Jumamosi katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Akiongelea kuhusu kambi kocha wa...