WATANZANIA 119 KUTOKA DUBAI WAREJEA NCHINI, WAISHUKURU SERIKALI

Serikali ya Tanzania imewarejesha nchini watanzania 119 ambao walikuwa wamekwama Abu Dhabi (Dubai) kufuatia kuzuiwa kwa safari za ndege kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayosabishwa na virus vya corona (COVID-19).
Ndege ya fly Dubai imewarejesha watanzania hao waliokuwa wamekwama Abu Dhabi (Dubai) tangu 25 Machi 2020 Serikali ya Falme za Kiarabu ilipotoa zuio la kuingia na kutoka kwa ndege.
Ndege hiyo imewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA)...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziSERIKALI YAWAREJESHA WATANZANIA 119 WALIOKWAMA FALME ZA KIARABU
Watanzania hao 119 waliokuwa wamekwama katika nchi za Falme za Kiarabu baada ya mlipuko wa ugonjwa wa COVID 19 na kusababisha mashirika mbalimbali ya ndege kufunga safari zake wamewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere majira ya saa nane mchana kwa ndege ya shirika...
5 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi.jpg)
watanzania 18 warejea nyumbani kutoka Yemen ambako hakukaliki kutokana na vita
.jpg)
.jpg)
5 years ago
CCM Blog
WATANZANIA WALIOKWAMA INDIA KUTOKANA NA CORONA WAREJEA NCHINI

Ubalozi wa Tanzania nchini India kwa kushirikiana na Shirika la Ndege la Tanzania [ATCL] pamoja na Diaspora wa Tanzania nchini India kwa mara nyingine wamefanikisha safari ya pili ya kuwarejesha nchini Watanzania 192 waliokuwa wamekwama katika miji mbalimbali nchini India.
Watanzania hao walikwama kutokana na zuio la kuingia na kutoka kwa ndege za Kimataifa...
5 years ago
CCM Blog
WATANZANIA 57 WALIOKUWA WAMEKWANA AFRIKA KUSINI KUTOKANA NA CORONA WAREJEA NCHINI

5 years ago
MichuziAWAMU YA PILI YA WATANZANIA WALIOKWAMA INDIA KUTOKANA NA UGONJWA WA COVID-19 WAREJEA NCHINI

Baadhi ya watanzania waliokuwa wamekwama India kutokana na ugonjwa wa COVID-19 wakiwa ndani ya ndege maalum ya Air Tanzania wakisubiri kuondoka kurejea Tanzania katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Chhatrapati Shivaji Jijini Mumbai tarehe 30 Mei 2020. Serikali ya India ilisitisha huduma ya kuingia na kutoka kwa ndege za kimataifa ikiwa ni moja ya mkakati wa kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa COVID-19.

Sehemu nyingine ya watanzania waliokuwa wamekwama nchini India wakiwa ndani ya ndege maalum ya...
11 years ago
Michuzi18 Sep
Mwenyekiti wa Shirika la Nyumba Serikali ya Dubai afanya ziara nchini
5 years ago
CCM Blog
BALOZI MILANZI ASIMAMIA USAFIRISHWAJI WA WATANZANIA 14 WALIOKWAMA AFRIKA KUSINI KWA LOCKDOWN, WAREJEA NCHINI PAMOJA NA RAIA 12 WA NCHI HIO WANAOFANYA KAZI TANZANIA
Na Mwandishi Maalumu Balozi wa Tanzania nchini Afrka Kusini Meja Jenerali (Mst) Gaudence Milanzi Jumatatu Mei 25, 2020 amesimamia zoezi la repatriation (usafirishaji) wa dharura) ya Watanzania pamoja na raia kadhaa wa nchi hiyo waliokwama kutokana na Lockdown na kusitishwa safari za ndege inayoendelea huko, kutoka Johannesburg kuja Dar es salaam.
Taarifa kutoka ubalozi wa Tanzania nchini humo zinasema kwamba Balozi Milanzi aliratibu na kusimamia zoezi hilo ambapo Watanzania 14 ambao...
5 years ago
Michuzi
NEWS ALERT: BALOZI MILANZI ASIMAMIA USAFIRISHWAJI WA WATANZANIA WALIOKWAMA AFRIKA KUSINI KWA LOCKDOWN, WAREJEA NCHINI PAMOJA NA RAIA WA NCHI HIO WANAOFANYA KAZI TANZANIA
Taarifa kutoka ubalozi wa Tanzania nchini humo zinasema kwamba Balozi Milanzi aliratibu na kusimamia zoezi hilo ambapo Watanzania hao walikwama...