Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MRADI WA MIL 700/- WA MATUMIZI YA RASILIMALI ENDELEVU USAMBARA WAANZA‏

Afisa Mradi wa uchumi wa kijani ndani ya hifadhi hai (GEBR) Kitengo cha Sayansi kutoka UNESCO na mwakilishi wa KOICA, Myoung Su Ko, (kulia) akisalimiana na Mtendaji wa Kata ya Mnyuzi, Bw. Gosbert Ishengoma mara baada ya kuwasili kwenye ofisi za kata hiyo wilayani Korogwe. Katikati ni Afisa Usafi na Mazingira wa Wilaya ya Korogwe, Bw. Frederick Linga.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MRADI WA MIL 700/- WA MATUMIZI YA RASILIMALI ENDELEVU USAMBARA WAANZA

DSC_0008Afisa Mradi wa uchumi wa kijani ndani ya hifadhi hai (GEBR) Kitengo cha Sayansi kutoka UNESCO na mwakilishi wa KOICA, Myoung Su Ko, (kulia) akisalimiana na Mtendaji wa Kata ya Mnyuzi, Bw. Gosbert Ishengoma mara baada ya kuwasili kwenye ofisi za kata hiyo wilayani Korogwe. Katikati ni Afisa Usafi na Mazingira wa Wilaya ya Korogwe, Bw. Frederick Linga.
Na Mwandishi wetu, KorogweShirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limezindua mradi wa mamilioni katika eneo la...

 

9 years ago

Mwananchi

Rasilimali kwa ajili ya malengo endelevu ya maendeleo zinaweza kutoka wapi?

Kuanzia Januari ya mwaka 2016, dunia itaanza kutekeleza rasmi malengo endelevu ya maendeleo. Malengo haya yalipitishwa na Umoja wa Mataifa huko Marekani Septemba mwaka 2015.

 

10 years ago

Habarileo

‘Ufisadi mwingine wa mil 700/- wanukia Nishati’

Zitto Kabwe.KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imetoa maelekezo kwa Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) kufanya uchunguzi wa Sh milioni 699 zinazodaiwa kutolewa na Wizara ya Nishati na Madini kwenda Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ambazo zinaonekana kuyeyuka katika mazingira yasiyoeleweka.

 

11 years ago

Habarileo

Ashangaa halmashauri kushindwa kutumia mil 700/- za maji

Amos MakallaNAIBU Waziri wa Maji, Amos Makalla, ameshangazwa na utendaji wa uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero kwa kushindwa kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maji hali inayoifanya iwe na kiwango cha chini cha upatikanaji wa maji cha asilimia 35 katika Mji wa Ifakara tofauti na lengo lililowekwa na Serikali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mradi wa maji TBL kunufaisha kaya 700

ZAIDI ya familia 700 katika Mtaa wa Kimara- King’ongo, Kata ya Saranga, Dar es Salaam zinatarajia kunufaika na msaada wa mradi wa kisima cha maji uliotolewa na Kampuni ya Bia...

 

10 years ago

StarTV

Serikali yaruhusu mradi wa mkaa endelevu.

Na Jackson Monela,

Morogoro.

 

Serikali imeruhusu kuendelea kutekelezwa kwa mradi wa mkaa endelevu wilayani Kilosa mkoani Morogoro licha ya baadhi ya wadau wa mazingira kupinga kwa madai kuwa umeleta athari ya kupoteza misitu mingi.

 

Awali mradi huo ulisitishwa kwa muda mara baada ya kuona ukichangia uharibifu wa mazingira kutokana na kukithiri kwa ukataji miti hatua ambayo iliilazimu Serikali kutaka mradi huo usitishwe kwa muda ili kupisha uchunguzi maalum.

 

Kwa muda mrefu nishati ya mkaa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mradi wa gesi majumbani uwe endelevu

Tangu ilipogundulika hazina kubwa ya gesi nchini miaka michache iliyopita, kumekuwapo na kauli nyingi kuhusu manufaa ambayo wananchi mmoja mmoja au nchi wataweza kupata kutokana na rasilimali hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TBL kutumia mil. 700/- kutatua uhaba wa maji sekta ya afya

TATIZO la upatikananji wa maji safi na salama nchini ni moja kati ya changamoto kubwa zinazoikabili sekta ya afya nchini. Tatizo hili limekuwa likiathiri ufanisi katika shughuli mbalimbali za huduma...

 

9 years ago

Dewji Blog

Shule za Sekondari nchini zashauriwa kuwekeza katika matumizi ya Nishati endelevu ya Biogesi

image_2Mkuu wa Shule ya Sekondari Manzese Bw.Linus Mwakasege akitoa ufafanusi kwa waandishi wa habari kuhusu manufaa ya mradi wa nishati endelevu ya Biogesi utakavyowanufaisha wanafunzi wa shule hiyo. (Picha zote na Aron Msigwa-MAELEZO).

Aron Msigwa-MAELEZO

9/9/2015.Dar es salaam.

Shule za Sekondari kote nchini zimeshauriwa kuwekeza katika matumizi ya Nishati endelevu ya Biogesi na majiko sanifu ili kulinda na kuhifadhi mazingira.

Ushauri huo umetolewa na Meneja Uhusiano wa Jamii wa Mamlaka ya Maji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani