Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rasilimali kwa ajili ya malengo endelevu ya maendeleo zinaweza kutoka wapi?

Kuanzia Januari ya mwaka 2016, dunia itaanza kutekeleza rasmi malengo endelevu ya maendeleo. Malengo haya yalipitishwa na Umoja wa Mataifa huko Marekani Septemba mwaka 2015.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MABUNGE YATAKIWA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA MALENGO MAPYA YA MAENDELEO ENDELEVU

Na Mwandishi Maalum , New York Maspika wa Mabunge kutoka mataifa mbalimbali duniani, wamemaliza mkutano wao wa Nne kwa kupitisha tamko ambalo pamoja na mambo mengine, linayataka Mabunge kuhakikisha yanasimamia na kufuatilia kwa karibu utekelezaji wa Malengo na Ajenda Mpya za Maendeleo Endelevu ( Ajenda 2030). Akihitimisha mkutano huo wa Maspika ambao hufanyika kila baada ya Miaka mitano, Rais wa Chama cha Kimataifa cha Mabunge ( IPU) Saber Chowdhur amesema, Maspika na...

 

9 years ago

Michuzi

VYOMBO VYA HABARI VINAWAJIBU WA KUELIMISHA JUU YA MALENGO 17 YA MAENDELEO ENDELEVU

Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiVyombo vya habari vimetakiwa kushiriki katika maendeleo endendelevu ya yenye malengo 17 yanayoanza 2016 hadi 2030 ili kuweza wananchi kufahamu kila lengo na kuweza kufikia mabadiliko chanya.
Malengo 17 ya Maendeleo Endelevu yanatokana na kuisha kwa malengo ya milenia ambayo yamekamilika mwaka huu na kufanya nchi 88 duniani kukaa pamoja na kuja malengo hayo lengo likiwa ni kukamilisha malengo ya milenia ambayo yamekamilika mwaka huu pamoja na kuboresha sekta...

 

9 years ago

Michuzi

VIJANA WAUNGANA KUPAMBANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI KATIKA MALENGO 17 YA MAENDELEO ENDELEVU (SDGs)

Na Chalila Kibuda ,Globu ya JamiiVIJANA Watanzania  wameungana katika harakati za kupambana na Mabadilikio ya Tabianchi kutokana na kuwa idadi kubwa ya watu kuweza kufanya mabadiliko hayo.
Akizungumza na wadau wa Mabadiliko ya Tabianchi,Mratibu wa Mtandao wa Mabadiliko ya Tabianchi,Sixberty Mwanga amesema kuwa katika malengo 17 ya Maendeleo Endelevu Tanzania inatakiwa kushiriki na kukubali juu ya kuweza kupata fedha za kuweza kutekeleza malengo hayo.
Mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN) wa Malengo...

 

9 years ago

Dewji Blog

UN kuandika Historia nyingine leo: Kujadili Agenda 2030 ya Malengo Mapya ya Maendeleo Endelevu (SDG’s)

unnamed (1)Katibu Mkuu  wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,  Balozi  Liberata Mulamula akizungumza wakati wa mkutano ulioandaliwa  kwa pamoja  na  Wizara ya Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo ya Ujerumani na Mashirika  ya Kimataifa kama vile Mpango wa Chakula Duniani, Mkutano uliokuwa ukijadili changamoto za mabadiliko ya tabia nchi na uhusiano wake na usalama wa chakula,  lishe na afya. Mkutano huu ulifanyika  siku ya alhamis katika Uwakilishi wa Kudumu wa Ujeruman katika Umoja wa...

 

9 years ago

Mwananchi

DNA inapatikana wapi na ni kwa ajili ya kazi gani?

DNA hutumika katika sayansi ya viumbe hai katika kuchunguza taarifa mbalimbali za utendaji wa mwili, tabia na hata suala zima la uzazi.

 

11 years ago

Michuzi

MRADI WA MIL 700/- WA MATUMIZI YA RASILIMALI ENDELEVU USAMBARA WAANZA

DSC_0008Afisa Mradi wa uchumi wa kijani ndani ya hifadhi hai (GEBR) Kitengo cha Sayansi kutoka UNESCO na mwakilishi wa KOICA, Myoung Su Ko, (kulia) akisalimiana na Mtendaji wa Kata ya Mnyuzi, Bw. Gosbert Ishengoma mara baada ya kuwasili kwenye ofisi za kata hiyo wilayani Korogwe. Katikati ni Afisa Usafi na Mazingira wa Wilaya ya Korogwe, Bw. Frederick Linga.
Na Mwandishi wetu, KorogweShirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limezindua mradi wa mamilioni katika eneo la...

 

11 years ago

GPL

MRADI WA MIL 700/- WA MATUMIZI YA RASILIMALI ENDELEVU USAMBARA WAANZA‏

Afisa Mradi wa uchumi wa kijani ndani ya hifadhi hai (GEBR) Kitengo cha Sayansi kutoka UNESCO na mwakilishi wa KOICA, Myoung Su Ko, (kulia) akisalimiana na Mtendaji wa Kata ya Mnyuzi, Bw. Gosbert Ishengoma mara baada ya kuwasili kwenye ofisi za kata hiyo wilayani Korogwe. Katikati ni Afisa Usafi na Mazingira wa Wilaya ya Korogwe, Bw. Frederick Linga.… ...

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE ATUMIA ML 485 KWA AJILI YA MAENDELEO TUNDURU

Mbunge wa jimbo la Tunduru Kusini Daimu Mpakate kulia akiongea na wakazi wa kijiji cha Chiwana kata ya Chiwana Wilayani Tunduru jana katika mkutano wa Hadhara ambapo alitoa shilingi ml 12 kwa ajili ya ujenzi wa matundu ya vyoo na ukarabati wa vyumba vya madarasa kwa baadhi ya shule za msingi katika kata hiyo. 
MBUNGE wa jimbo la Tunduru Kusini Daimu Mpakate,amewataka wakazi wa kijiji cha Chiwana kata ya Chiwana wilayani Tunduru,kuwa walinzi wa  miradi  inayoendelea kutekelezwa  na Serikali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani