Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mrema kuwasilisha taarifa ya maradhi yanayomsumbua bungeni

Wakati Mbunge wa Vunjo, Augustino Mrema akiahidi kuwasilisha taarifa ya ugonjwa unaomsumbua bungeni leo ili kuwanyamazisha wanaochafua, Kada wa CCM, Profesa Mwedadi Mbaga ametangaza kuwania kiti cha jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu ujao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI SIMBACHAWENE AWAONGOZA WATENDAJI WA WIZARA KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE KUWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA BAJETI, BUNGENI JIJINI DODOMA, LEO

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza katika Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Pius Msekwa, Bungeni jijini Dodoma, leo. Wizara iliwasilisha katika kikao hicho Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2020/21. Katikati ni Kaimu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Salim Mwinyi Rehani, na kulia ni Katibu wa Kamati hiyo, Ramadhani Abdalla. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Sitta kuwasilisha Bajeti kesho Bungeni

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Samuel Sitta anatarajia kuwasilisha hotuba ya bajeti ya Wizara  kwa mwaka wa Fedha 2014/2015 kesho tarehe 22 Mei, 2014, ambapo atazungumzia utekelezaji wa majukumu ya Wizara kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na makadirio ya mpango na bajeti kwa mwaka wa fedha 2014/2015.

Hotuba hiyo itapatikana kwenye tovuti ya Wizara www.meac.go.tz na kwenye vyombo mbalimbali vya habari mara baada ya Mhe. Waziri kumaliza kuisoma Bungeni.

Tunawakaribisha wadau...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Chenge kuwasilisha Katiba Pendekezi Bungeni leo

Na mwandishi wetu, Dodoma
Andrew ChengeWAKATI wajumbe wa kundi la Katiba ya Wananchi (UKAWA), wakiendelea kususa, Bunge Maalumu la Katiba leo linaingia kwenye hatua muhimu pale Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba, Andrew Chenge, atakapowasilisha Katiba Pendekezi.
Chenge, ambaye pia ni Mbunge wa Bariadi Magharibi, anatarajiwa kuwasilisha Katiba Pendekezi kwa Mwenyekiti wa Bunge, Samuel Sitta, baada ya kukamilisha kazi hiyo.
Mara baada ya kuwasilishwa, wajumbe wa Kamati...

 

11 years ago

Ykileo

BUNGE LINATEGEMEA KUWASILISHA BUNGENI MUSWADA SHERIA ZA MAKOSA MTANDAO.

Wizara ya Mawasilano, Sayansi na Teknolojia ipo katika mkakati wa kuandaa muswada wa sheria za matumizi salama ya mtandao ili kukabiliana na changamoto za uhalifu kupitia mtandao.

Kupitishwa kwa miswada hiyo kuwa sheria kutapunguza hali ya kukithiri kwa matukio ya uhalifu wa kutumia mtandao, uvujaji wa taarifa za siri pamoja na upotevu wa haki miliki kutokana na kukosekana kwa sheria ya kudhibiti vitendo hivyo.

Miongoni mwa Miswada ya sheria itakayoandaliwa na Wizara hiyo ni pamoja na muswada...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Bwege’, Keissy wabunge wanaotumia mzaha kuwasilisha hoja nzito bungeni

Nakumbuka wakati nikiwa shule ya msingi, mwalimu wa Kiswahili alikuwa akipendwa sana na wanafunzi na siri kubwa ilikuwa aina yake ya ufundishaji wake.

 

11 years ago

Habarileo

Kamati sita zashindwa kuwasilisha taarifa

KAMATI sita kati ya kamati 12 za Bunge Maalumu la Katiba, zimeshindwa kuwasilisha taarifa zao kwa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu tayari kwa ajili ya kuwasilishwa bungeni leo.

 

11 years ago

Ykileo

FACEBOOK YAPINGA KUWASILISHA TAARIFA ZA WAHALIFU MTANDAO

Mahakama katika nchi mbalimblai zimekua na taratibu zakukusanya vielelezo vya kidigitali vitakavyo toa uthibitisha makosa mbali mbali ya kimtandao.
Mtandano wa kijamii wa Facebook ulitakiwa kuwasilisha taarifa za wateja wake ambao walihusishwa na uhalifu mtandao wa kujipatia pesa kinyume na sharia kupitia mtandao wa kijamii wa facebook.


Mtandao huo wa kijamii wa Facebook umekata rufaa dhidi ya amri hiyo ya mahakama ambapo ilitakiwa kuwasilisha taarifa  za watu takriban 400 waliouhusika...

 

11 years ago

Michuzi

WATENDAJI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI YA KUWASILISHA BAJETI BUNGENI DODOMA KESHO

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (katikati), Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil (Kulia), Naibu Katibu Mkuu Mwamini Malemi (kushoto) wakiwa na Wakuu wa Idara na Taasisi za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, katika Kikao cha Maandalizi ya Kuwasilisha Bajeti ya Wizara hiyo inayotarajiwa kuwasilishwa Tarehe 15 Mei, 2014 katika Bunge la Bajeti linaloendelea mjini Dodoma. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani