msaada tutani: MVUNJA NDOA ZA WATU ANATUTOA RAHA, JIHADHARINI....
Kaka michuzi habari za jumapili. Pole na hongera kwa kazi nzuri unayofanya. kaka mimi ninaomba unisaidie kuweka hili jambo hadharani. Kuna mtu mwenye email adress yakimusi200@outlook.com. huyu mtu amekuwa akituma email kwa watu hasa walioko kwenye ndoa . anachofanya yeye anahack email za watu anaowataka na kuanza kuwatumia email kuwaambia kuwa wenza wao wanacheat. Nashindwa kuelewa yeye lengo lake linakuwaga ni nini. nikupe kisa kimoja. mimi na mdogo wangu na mkewe tuna kampuni yetu na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi14 Dec
msaada tutani: mdau hana raha kwa kukosa chkula ya usiku....
Pole na mihangaiko yako ya kila siku. Kwa kweli kwa upande wangu mambo si mazuri. nasumbuliwa na tatizo la upungufu wa nguvu zetu kwa hiyo ni karaha saana. Sina raha kwa kukosa chakula ya usiku.Nimeona kwenye blog yako hili tangazo hapa kwenye hii linki:
http://issamichuzi.blogspot.com/2011/03/msaada-kwenye-tutazz.html
Ningependa kupata mrejesho toka kwa huyu ndugu lakini naona hajibu tena meseji. Basi nakuomba uliweke hili tangazo kwenye blog yako ili mwenye suluhu aweze...
10 years ago
Michuzi23 May
11 years ago
Michuzi15 May
MSAADA TUTANI
Nimepotelewa na wallet yangu yenye vitambulisho 1. Driving Licence yenye jina la Jubilant Malisa 2. Eco Bank card 3. Kitambulisho cha kazi jina Jubilant Malisa Kampuni Africare 4.AAR Insurance card yenye jina Jubilant Malisa
Kwenye wallet kuna business card yenye jina langu na contacts zangu na visenti 200K+ (sitaviulizia) Kaka unaeendesha gari ya NHC namba ni SU ,uliyetupatia lift jana kutokea goba mpaka Kibamba tukapitia barabara ya makabe kukwepa foleni naomba...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-w3CVSdwiyUI/VNhnaXaoBVI/AAAAAAAHCik/mzwCXPKFCjU/s72-c/DSCF3386.jpg)
MSAADA TUTANI WADAU
![](http://1.bp.blogspot.com/-w3CVSdwiyUI/VNhnaXaoBVI/AAAAAAAHCik/mzwCXPKFCjU/s1600/DSCF3386.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-j7lgQdj5EtE/VNhnaItiezI/AAAAAAAHCig/_lmr-JfTY1U/s1600/DSCF3389.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-PNVLFE84EpY/VCFQ8lbyikI/AAAAAAAGlTE/ip0YD79z_1w/s72-c/b5f2800cb10c0f0ba3c993f26cf5e47b_373x101.gif)
msaada tutani: Please Vote for us mdau!!
![](http://4.bp.blogspot.com/-PNVLFE84EpY/VCFQ8lbyikI/AAAAAAAGlTE/ip0YD79z_1w/s1600/b5f2800cb10c0f0ba3c993f26cf5e47b_373x101.gif)
Conservation Interaction has reached the finals of a competition. This is run by the Climate Co-Lab, which is part of MIT University in Boston. I would appreciate your vote on our proposal 'A Collaborative Solutions Communication Platform' which aims to solve climate change problems for coastal communities in Tanzania using our radio programmes and supportive text messages. It only takes a minute to go to...
10 years ago
Michuzi01 Oct
msaada tutani: Mdau APOTELEWA VITAMBULISHO
MDAU...
10 years ago
Michuzimsaada tutani: Je, unajua waliko hawa watoto?
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-psSSCPleQVk/UwaFckjXiaI/AAAAAAAFOgU/6Lycx7AA-hU/s72-c/1798419_753216184690844_532457107_n.jpg)
10 years ago
Michuzi17 Oct
MSAADA TUTANI; KUPOTELEWA KWA NYARAKA MUHIMU