Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


msaada tutani: ndugu wamtafuta PAULO DASTAN NYANGUSI aliyeolomea Afrika kusini tokea mwaka 1998

Msaada wako kaka Issa Michuzi nisaidie kuitoa kwenye blog yako hiyo picha ni ndugu yetu tunamtafuta Alikuwa south Africa tangu 1998 ila kwa sasa hatuji alipo. Ni zaidi ya miaka 15 hatuna mawasiliano nae ,watu wa south Africa wanasema hayupo south Africa ila hawajui alipo. Jina lake anaitwa PAULO DASTAN NYANGUSI.Mwenye taarifa zake tafadhali sana awasiliane na email hii ernestkinyashi@gmail.com
Ahsante
Ernest

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MSAADA TUTANI

 Habari za Asubuhi,Ankal
Nimepotelewa na wallet yangu yenye vitambulisho 1. Driving Licence yenye jina la Jubilant Malisa 2. Eco Bank card  3. Kitambulisho cha kazi jina Jubilant Malisa Kampuni Africare 4.AAR Insurance card yenye jina Jubilant Malisa
Kwenye wallet kuna business card yenye jina langu na contacts zangu na visenti 200K+ (sitaviulizia) Kaka unaeendesha gari ya NHC namba ni SU ,uliyetupatia lift jana kutokea goba mpaka Kibamba tukapitia barabara ya makabe kukwepa foleni naomba...

 

10 years ago

Michuzi

MSAADA TUTANI WADAU

Leo katika pitapita zangu nikitokea Barabara ya Msimbazi kuelekea Mjini,kushoto kuna kibao kinachozuia magari yanayotoka barabara hiyo kwenda mjini na hapo hapo kuna mchoro mwingine unaoonyesha kuwa anataka kuelekea mjini basi aende mbele na azunguke kama inavyoonekana hapo pichani.lakini kinachonimiksi mie ni namna gani naenda kuipiga hiyo kyuutani????

 

10 years ago

Michuzi

msaada tutani: Please Vote for us mdau!!

Hello WADAU!

Conservation Interaction has reached the finals of a competition. This is run by the Climate Co-Lab, which is part of MIT University in Boston. I would appreciate your vote on our proposal 'A Collaborative Solutions Communication Platform' which aims to solve climate change problems for coastal communities in Tanzania using our radio programmes and supportive text messages. It only takes a minute to go to...

 

10 years ago

Michuzi

msaada tutani: Mdau APOTELEWA VITAMBULISHO

Uncle Michuzi habari za majukumu.Naitwa MATHIAS NGUTU. Leo tarehe 1/10/2014   nimepoteza wallet yangu maeneo ya kituo cha daladala cha Makumbusho Dar es salaam wakati wa asubuhi. Ilikiwa na ATM Card yangu ya Benki ya NMB, Kitambulisho cha Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Morogoro na Kitambulisho cha Bima ya Afya.                            Tafadhali naomba  kuwa aliyeokota namuomba awasiliane nami kupitia namba 0789929777 au ngutumathias@yahoo.comNimetoa ripoti kituo cha Polisi Mabatini.
MDAU...

 

10 years ago

Michuzi

MSAADA TUTANI: MDAU APOTELEWA NA WALETI YAKE

Uncle mimi Hobidan Ackim Mwaijulu wa Kunduchi Mtongani. Nimepotelew na wallet yangu usiku huu Tarehe 15/05/2015.Kwenye daladala Nikitokea Makumbusho kwenda Kunduchi Mtongani Majira ya saa mbili usiku. Wallet ilikuwa na kadi ?(4) nne za Bank mbili za exim bank,moja ya foreign currency na nyingine ya tshilings. 
Nyingine ni ya CRDB bank (master card). kadi nyingine ambayo ni muhimu sana ni Kadi ya Nje Bank ya HSBC pamoja na Token access yake ambayo ina muonekano wake ni mfano wa calculate...

 

10 years ago

Michuzi

msaada tutani: Je, unajua waliko hawa watoto?

Hii picha imekuwa ikisambaa sana kwenye mitandao ninaomba kama kuna mtu anafahamu uwezekano wa kupatikana kwa watoto hawa kwenye hii picha. Msamaria mwenye nia ya kuwasaidia ameomba jina lake lisitajwe bali anaomba yoyote anayefahamu jinsi ya kuwapata hao watoto atume email kwaimblessd22@gmail.comAsante sana!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani