Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSAFARA WA LOWASSA WASIMAMISHWA ZAIDI YA MARA NNE WAKATI AKIWA SAFARINI KUTOKEA JIJINI TANGA KUELEKA DAR

 Msafara wa Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, ukichanja mbuga kutokea jijini Tanga kuelekea jijini Dar es salaam mapema leo asubuhi.Sehemu ya wananchi wa Mji wa Muheza Mkoani Tanga, wakiwa wamefunga barabara, wakimtaka Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, azungumze nao leo Septemba 29, 2015, wakati akiwa safarini kwa kuelekea jijini Dar es salaam...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MSAFARA WA LOWASSA WASIMAMISHWA DUMILA MKOANI MOROGORO WAKATI AKIELEKEA MKOANI DODOMA

Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akipunga mkono kwa umati wa watu wakazi wa Mji wa Dumila, Mkoani Morogoro, waliomsimamisha ili awasalimie wakati alipokuwa safarini kuelekea Mkoano Dodoma, leo Juni 30, 2015. Mh. Lowassa anatarajia kurudisha fomu ya kuomba ridhaa ya CCM kuwania Urais wa Tanzania, kesho Julai 1, 2015.PICHA NA OTHMAN MICHUZI.Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akiwasalimia...

 

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA ALITIKISA JIJI LA TANGA KWA MARA NYINGINE TENA

Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia wananchi wakati akiwasili kwenye viwanja wa Indian Ocean, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni,  Oktoba 21, 2015. Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwahutubia wananchi wa jiji la Tanga waliofurika katika viwanja wa Indian Ocean, katika Mkutano wa Kampeni, ...

 

5 years ago

BBCSwahili

Maandamano Uingereza: Zaidi ya watu 100 wamekamatwa baada ya kutokea vurugu jijini London

Polisi walivamiwa na waandamanaji, ambao wengine walikuwa wanaharakati wa mrengo wa kulia baada ya maelfu yao waliokuwa wamekusanyika kusema kuwa wanalinda masanamu yasiharibiwe.

 

10 years ago

Dewji Blog

PINDA akiwa safarini kuelekea Katavi

IMGS4856

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Jaqueline Liana  kwenye Ikulu ndogo ya Tabora alipopata mapumziko akiwa njiani kuelekea Katavi Oktoba 2, 2015.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

10 years ago

StarTV

Walinzi wa CHADEMA Walioongoza Msafara wa Lowassa Jijini Mbeya Watakiwa Kujisalimisha Polisi Kwa Ajili ya Mahojiano

Mnamo Tarehe 14.08.2015 Mgombea Urais Kwa Tiketi Ya Chadema Alikuja Mkoa Wa Mbeya Akiwa Ameandamana Na Viongozi Wa Vyama Vya Cuf, Nccr – Mageuzi Na Nld Kwa Dhumuni La Kumtambulisha Na Kuomba Udhamini Wa Kupeperusha Bendera Ya Chadema Kwa Nafasi Ya Urais. Katika Msafara Wake Kutoka Uwanja Wa Ndege [songwe] Kulionekana Gari Moja (pichani) Aina Ya Land Cruiser – Pick Up Yenye Rangi Nyeusi Na Ndani Yake Lilikuwa Limebeba Vijana Ambao Walikuwa Wamevaa Mavazi Meusi, Kofia – Bereti Nyeusi Na Miwani...

 

10 years ago

Vijimambo

DK. MALECELA AKIWA KATIKA STUDIO ZA MWAMBAO JIJINI TANGA, YUPO JIJINI HUMO KUTAFUTA WADHAMINI KATIKA SAFARI YAKE YA KUOMBA KUWANIA URAIS KWA TIKETI YA CCM

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti Magonjwa ya Binadamu Dk. Mwale Malecela pichani kabla ya kuingia katika chumba cha habari katika Redio ya Mwambao iliyopo Tanga eneo la Kange ndani ya Kiwanda cha Tanga Fresh ambaye ni mtoto wa Makamu wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) John Malecela ni miongoni mwa wana CCM ambao wamejitosa kugombea urais kupitia CCM. Dk. Mwale katika maisha yake mengi kwa zaidi ya miaka20 amekua mtumishu katika Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya...

 

11 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani