Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PINDA akiwa safarini kuelekea Katavi

IMGS4856

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Jaqueline Liana  kwenye Ikulu ndogo ya Tabora alipopata mapumziko akiwa njiani kuelekea Katavi Oktoba 2, 2015.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

9 years ago

Vijimambo

MSAFARA WA LOWASSA WASIMAMISHWA ZAIDI YA MARA NNE WAKATI AKIWA SAFARINI KUTOKEA JIJINI TANGA KUELEKA DAR

 Msafara wa Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, ukichanja mbuga kutokea jijini Tanga kuelekea jijini Dar es salaam mapema leo asubuhi.Sehemu ya wananchi wa Mji wa Muheza Mkoani Tanga, wakiwa wamefunga barabara, wakimtaka Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, azungumze nao leo Septemba 29, 2015, wakati akiwa safarini kwa kuelekea jijini Dar es salaam...

 

11 years ago

Michuzi

polisi mkoani katavi wakamata mtu akiwa na meno ya tembo na gobole

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Katiavi Afande Dhahiri Kidavashari akionesha meno ya tembo vipande 2 yenye thamani ya shilingi 22  aliyokamatwa nayo mtuhumiwa Bathoromeo Mtongwa Machi 8, 2014 katika kijiji cha Kilida, tarafa ya Mamba wilaya ya Mlele ambapo pia mtuhumiwa huyo alikamatwa na gobole 1 na risasi 14. Mkaazi wa kijiji cha Kilida tarafa ya mamba wilaya ya mlele Bathoromeo Mtongwa (58) akiwa katika kituo cha polisi cha mkoa wa Katavi baada ya kukamatwa na meno mawili ya tembo yenye...

 

10 years ago

Habarileo

9,141 wa Katavi wamdhamini Pinda

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ambaye pia ametangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) amepata wadhamini 9,141 baada ya kuhitimisha zoezi hilo katika mkoa wa Katavi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda apokea taarifa ya mkoa wa Katavi

IMGL6122

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Dkt. Ibrahim Mzengi wakati aliposoma taarifa fupi ya mkoa huo baada ya Waziri Mkuu kuwasili Mpanda mkoani Katavi kwa mapumziko mafupi  Julai 15, 2015. Kushoto ni Katibu Tawala wa mkoa huo, Mhandisi Emmanuel Kalobelo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

10 years ago

Mtanzania

Pinda ajiandikisha kijiji kwake Katavi

prime-ministerNa Mwandishi Wetu, Mpanda
WAZIRI MKUU, Mizengo Pinda amewataka Watanzania watumie fursa ya uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura kwa kujiandikisha waweze kushiriki uchaguzi mkuu ujao Oktoba 25 mwaka huu.
Hayo aliyasema jana baada ya kujiandikisha kwenye Ofisi ya Mtendaji Kata katika Kijiji cha Kibaoni wilayani Mpanda, Mkoa wa Katavi.
“Ninawasihi Watanzania wote tusiache kutumia fursa hii… kila mtu ahakikishe anajiandikisha. Ni fursa pekee itakayohakikisha kila mwananchi anashiriki uchaguzi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda ataka migogoro imalizwe Katavi

Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameuagiza uongozi wa Mkoa wa Katavi kutatua tatizo lililopo la mgogoro wa Kitongoji cha Mnyamasi kulifanya kuwa eneo la uwekezaji lipatiwe ufumbuzi ndani ya miezi mitatu.

 

11 years ago

Michuzi

RAGE APATA AJALI AKIWA NJIANI KUELEKEA DODOMA


Mbunge wa Tabora Mjini (CCM) Ismail Aden Rage, ambaye pia ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, akiwa amelazwa kwenye hospitali ya Rufaa, Dodoma, Jumatatu Agosti 4, 2014. Rage alipata ajali eneo la Chigongwe, nje kidogo ya Manispaa ya Dodoma, wakati akielekea mjini humo tayari kushiriki vikao vya Bunge Maalum vinavyoanza Jumanne Agosti 5, 2014Mbunge wa Sikonge mkoani Tabora kupitia CCM, ambaye pia ni Mujumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Said Nkumba, akimjulia hali Rage, hospitalini mjini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani