RAGE APATA AJALI AKIWA NJIANI KUELEKEA DODOMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-cB9hPD0i_zk/U9-iyIiTjOI/AAAAAAAAJdg/SoihWY6l6zc/s72-c/RAGE++ajali1.jpg)
Mbunge wa Tabora Mjini (CCM) Ismail Aden Rage, ambaye pia ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, akiwa amelazwa kwenye hospitali ya Rufaa, Dodoma, Jumatatu Agosti 4, 2014. Rage alipata ajali eneo la Chigongwe, nje kidogo ya Manispaa ya Dodoma, wakati akielekea mjini humo tayari kushiriki vikao vya Bunge Maalum vinavyoanza Jumanne Agosti 5, 2014
Mbunge wa Sikonge mkoani Tabora kupitia CCM, ambaye pia ni Mujumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Said Nkumba, akimjulia hali Rage, hospitalini mjini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SVfVaVsl8W1DmvPv04sC5ekPrjykvvCkKZfUamLSa4Oe9w6WSgr*04IKD*vrAIGqvE1mWrZ*1qkILo2ZBNCQIV3YTYY6U8yJ/breakingnews.gif)
ADEN RAGE APATA AJALI DODOMA
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
Rage apata ajali ya gari
MWENYEKITI wa Simba aliyemaliza muda wake, Ismail Aden Rage, jana amenusurika kifo baada ya kupata ajali ya agari eneo Chigongwe, nje kidogo ya Manispaa ya Dodoma, wakati akiingia mjini humo...
10 years ago
Bongo501 Dec
David Beckham apata ajali akiwa na mwanae
10 years ago
Bongo510 Oct
Baba Levo apata ajali akiwa ndani ya basi la AM lililogongana na Coaster
11 years ago
Mwananchi27 Jul
Bahati Bukuku apata ajali mkoani Dodoma
10 years ago
BBCSwahili03 Aug
Di Maria njiani kuelekea PSG
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-W6T_3NJVUIA/U9OVWJRMcBI/AAAAAAAF6jA/j2SMuWDURBU/s72-c/Bahati-Bukuku.jpg)
MUIMBAJI WA INJILI BAHATI BUKUKU APATA AJALI DODOMA AKIELEKEA KAHAMA KWENYE TAMASHA
![](http://4.bp.blogspot.com/-W6T_3NJVUIA/U9OVWJRMcBI/AAAAAAAF6jA/j2SMuWDURBU/s1600/Bahati-Bukuku.jpg)
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Bahati Bukuku akiwa kwenye moja ya kazi zake ya uimbaji.
Na: Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Gari lenye namba IT 7945 aina ya Toyota Nadia ikiendeshwa na EDSON S/O MWAKABUNGU, Mnyakyusa, Miaka 31 mkazi wa Tabata – Dar es Salaam liliacha njia na kugonga gema na kusababisha majeruhi kwa watu watatu baada ya kugongwa na gari lingine linalosadikiwa kuwa ni Fuso.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP...
11 years ago
MichuziALEX MSAMA APATA AJALI WAKATI AKIELEKEA MKOANI DODOMA,HALI YAKE YAENDELEA VIZURI
Mkurugenzi wa Msama Promotion, Bw Alex Msama amepata ajali leo, eneo la Ipagala mwisho wakati...
9 years ago
Dewji Blog02 Oct
PINDA akiwa safarini kuelekea Katavi
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Jaqueline Liana kwenye Ikulu ndogo ya Tabora alipopata mapumziko akiwa njiani kuelekea Katavi Oktoba 2, 2015.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).