Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


9,141 wa Katavi wamdhamini Pinda

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ambaye pia ametangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) amepata wadhamini 9,141 baada ya kuhitimisha zoezi hilo katika mkoa wa Katavi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU APATA WADHAMINI 9,141 KATAVI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapungia wanaCCM waliofika kwenye Ofisi ya CCM ya kata ya Kibaoni kumdhamini katika nia yake ya kuwania uteuzi wa CCM katika kugombea nafasi ya urais Juni 15, 2015.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimian na baadhi ya wananchi wa Mpanda waliofika kwenye ofisi ya CCM ya Wilaya ya Mpanda kushuhudia na kumdhamini ilia pate sifa za kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Juni 15, 2015.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda ataka migogoro imalizwe Katavi

Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameuagiza uongozi wa Mkoa wa Katavi kutatua tatizo lililopo la mgogoro wa Kitongoji cha Mnyamasi kulifanya kuwa eneo la uwekezaji lipatiwe ufumbuzi ndani ya miezi mitatu.

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda apokea taarifa ya mkoa wa Katavi

IMGL6122

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Dkt. Ibrahim Mzengi wakati aliposoma taarifa fupi ya mkoa huo baada ya Waziri Mkuu kuwasili Mpanda mkoani Katavi kwa mapumziko mafupi  Julai 15, 2015. Kushoto ni Katibu Tawala wa mkoa huo, Mhandisi Emmanuel Kalobelo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

9 years ago

Dewji Blog

PINDA akiwa safarini kuelekea Katavi

IMGS4856

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Jaqueline Liana  kwenye Ikulu ndogo ya Tabora alipopata mapumziko akiwa njiani kuelekea Katavi Oktoba 2, 2015.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

10 years ago

Mtanzania

Pinda ajiandikisha kijiji kwake Katavi

prime-ministerNa Mwandishi Wetu, Mpanda
WAZIRI MKUU, Mizengo Pinda amewataka Watanzania watumie fursa ya uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura kwa kujiandikisha waweze kushiriki uchaguzi mkuu ujao Oktoba 25 mwaka huu.
Hayo aliyasema jana baada ya kujiandikisha kwenye Ofisi ya Mtendaji Kata katika Kijiji cha Kibaoni wilayani Mpanda, Mkoa wa Katavi.
“Ninawasihi Watanzania wote tusiache kutumia fursa hii… kila mtu ahakikishe anajiandikisha. Ni fursa pekee itakayohakikisha kila mwananchi anashiriki uchaguzi wa...

 

9 years ago

Vijimambo

PINDA AKAGUA UJENZI WA NYUMBA ZA NHC KATAVI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa nyumba za walimu katika Shule ya msingi ya kakuni unaofanywa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) katika kijiji cha kibaoni mkoani Katavi Septemba 5, 2015. Kushoto ni Mkuu wa mkoa huo Dkt. Ibrahim Msengi na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Askofu wa Jimbo katoliki la Mpanda, Gervas Nyaisonga kwenye Makazi ya Askofu huyo mjini Mpanda Septemba 5, 2015.Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akimsikiliza...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU PINDA APOKEA TAARIFA YA MKOA WA KATAVI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Dkt. Ibrahim Mzengi wakati aliposoma taarifa fupi ya mkoa huo baada ya Waziri Mkuu kuwasili Mpanda mkoani Katavi kwa mapumziko mafupi Julai 15, 2015. Kushoto ni Katibu Tawala wa mkoa huo, Mhandisi Emmanuel Kalobelo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI AITIKISA KATAVI, PINDA AMNADI KWA KISHINDO

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Azimio mjini Mpanda, mkoani Katavi jana.    Waziri Mkuu MizengO Pinda akimtambulisha Mgombea Urais wa chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Pombe Magufuli mbele ya umati wa watu waliofurika jioni ya leo kwenye uwanja wa Azimio mjini MPanda mkoani Katavi wakati wa muendelezo wa kampeni za chama hicho mkoani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani