PINDA AKAGUA UJENZI WA NYUMBA ZA NHC KATAVI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa nyumba za walimu katika Shule ya msingi ya kakuni unaofanywa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) katika kijiji cha kibaoni mkoani Katavi Septemba 5, 2015. Kushoto ni Mkuu wa mkoa huo Dkt. Ibrahim Msengi na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Askofu wa Jimbo katoliki la Mpanda, Gervas Nyaisonga kwenye Makazi ya Askofu huyo mjini Mpanda Septemba 5, 2015.Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akimsikiliza...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog17 Aug
Pinda akagua ujenzi wa daraja la Kigamboni na mradi wa nyumba za mashirika ya NSSF na NHC
Waziri Mkuu, Mizewngo Pinda akikagua ujenzi wa daraja la kigamboni jijini Dar es salaam August 16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa nyumba unaofanywa na Shirika la NSSF katika eno la Kigamboni jijini Dar es salaam August 16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Bibi Doreene Mkandara na Mwanae Adastus Aporinary ambao ni miongoni mwa wateja waliouziwa nyumba na Shirika la Nyumba la Taifa la NHC...
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM,KINANA AZINDUA MRADI WA UJENZI WA NYUMBA 60 ZA NHC WILAYANI MLELE MKOANI KATAVI LEO
Katibu Mkuu wa CC,Ndugu Abdulrahman Kinana akikata utepe na kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa nyumba 60 za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC),katika kijiji cha Inyonga ndani ya Wilaya Mpya ya Mlele mkoani Katavi mapema leo jioni.
======== ====== =====
KATIBU Mkuu wa CCM amelipongeza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kwa kasi ya ujenzi miradi ya nyumba za makazi na biashara kwenye miji mbalimbali hasa makao makuu ya wilaya mpya.
Kinana aliyasema hayo katika mji wa Inyonga...
11 years ago
MichuziShirika la Nyumba NHC leo limesaini mkataba wa ujenzi wa nyumba 5,000 na Halmashauri ya Wilaya Mpya ya Busokelo
10 years ago
Dewji Blog27 Jan
Mkurugenzi Mkuu wa NHC akagua mradi wa nyumba za Makazi Wilayani Monduli
Mkurugenzi wa Mikoa na Utawala wa NHC Bw. Raymond Mndolwa(aliyenyosha mkono juu) akiekeza jambo wakati alipokuwa kwenye ziara ya Mkurugenzi Mkuu wa NHC kwenye mradi wa nyumba za Makazi Wilayani Monduli jana.
Mkugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu akikagua nyumba za makazi za kuuza zinazojengwa na NHC Wilayani Monduli.
Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu akipewa maelezo ya mradi wa nyumba za kuuza za makazi zinazojengwa na NHC Wilayani Monduli na Msimamizi wa mradi huo...
11 years ago
GPLDK. MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA NYUMBA 851
11 years ago
Mwananchi01 Feb
NHC waibuka na ujenzi nyumba maalumu
9 years ago
Mwananchi09 Dec
NHC yaweka rekodi ujenzi wa nyumba
11 years ago
Tanzania Daima01 Jul
NHC yawaalika wawekezaji ujenzi miradi wa nyumba
SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limewaalika wawekezaji watakaoshirikiana nao katika ujenzi wa miradi ya nyumba inayofanyika nchini. Mkurugenzi wa Shirika hilo, Nehemiah Mchechu, alitangaza hayo jijini Dar es Salaam...
5 years ago
MichuziSHILATU AKAGUA UJENZI NYUMBA YA MWALIMU,WANANCHI WAMSHUKURU RAIS MAGUFULI
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu amekagua ujenzi nyumba ya Mwalimu huku Wakazi wa Kijiji cha Mpunda kilichopo kata ya Michenjele wakimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwajengea nyumba ya kuishi Mwalimu katika shule ya msingi Mpunda.
"Tunamshuru Rais Magufuli kutuletea fedha za kujenga nyumba hii ya Mwalimu. Haijawahi kutokea tangu tupate Uhuru maendeleo haya ya kasi tunayoyaona. Pia tunamshukuru Afisa Tarafa Mihambwe kututembelea mara kwa...