Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NHC yawaalika wawekezaji ujenzi miradi wa nyumba

SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limewaalika wawekezaji watakaoshirikiana nao katika ujenzi wa miradi ya nyumba inayofanyika nchini. Mkurugenzi wa Shirika hilo, Nehemiah Mchechu, alitangaza hayo jijini Dar es Salaam...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Bodi ya NHC yatembelea na kukagua miradi ya ujenzi wa nyumba jijini Arusha

Ujumbe wa wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya NHC ukiwa eneo linalomilikiwa na  NHC ambalo ujenzi wa Mji wa kisasa umeanza wakionyeshwa na Meneja wa NHC Mkoa wa Arusha Bw. James Kisarika chemchemu za maji yanayotiririka walipotembelea eneo hilo lenye hali ya hewa ya aina yake Jijini Arusha jana.

Usa River ni Arusha Tanzania ambapo NHC Shirika lenye dhamana ya kujenga nyumba bora hapa nchini limeanza kupanga mji huo wenye mandhari na hali ya hewa ya kuvutia. Hapa wajumbe wa Bodi ya NHC na...

 

11 years ago

Michuzi

NHC yavutia wawekezaji katika maonyesho ya Nyumba ya Dubai


    Makamu wa Rais, Dr Bilal akizungumza kwenye kongamano hilo.     Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Mchechu akizungumza wakati wa kongamano hilo.  Wageni waalikwa katika kongamano.
Dubai, United Arab Emirates-Katika kile kinachoonekana ni hatua kubwa katika kuelekea kutengeneza fursa kwenye sekta ya uendelezaji wa makazi, Shirika la Nyumba la Taifa limeweka historia kwenye soko la kimataifa na kufanikiwa kwa mara ya kwanza kufanya kongamano la uwekezaji hapa...

 

11 years ago

Michuzi

Shirika la Nyumba NHC leo limesaini mkataba wa ujenzi wa nyumba 5,000 na Halmashauri ya Wilaya Mpya ya Busokelo

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)  leo limesaini mkataba na Halmashauri ya Wilaya Mpya ya Busokela iliyopo Mkoani Mbeya ya Ujenzi wa Nyumba 5,000 za gharama nafuu. Utiaji saini makubaliano hayo umefanyika leo mchana katika Hoteli ya New Dodoma mjini Dodoma na kuhudhuriwa na Wabunge wanaotoka Mkoa wa Mbeya wakiongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum)  Mhe.Prof Mark Mwandosya, ambaye Wilaya hiyo Mpya iko katika Jimbo lake la Rungwe Mashariki,  na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu...

 

11 years ago

Habarileo

NHC: Urasimu unachelewesha miradi ya nyumba

MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Nyumba nchini (NHC), Nehemia Mchechu ameomba halmashauri nchini kuondoa urasimu katika utoaji ardhi kuepusha unachelewesha wa mradi wa ujenzi wa nyumba za bei nafuu.

 

10 years ago

Dewji Blog

NHC watathmini utekelezaji wa ujenzi wa miradi

unnamed

Meneja wa NHC Mkoa wa Tabora, Erasto Chilambo akiwasilisha ripoti ya utekelezaji wa mradi wa nyumba za gharama nafuu za NHC Isikizya zilizopo wilayani Uyui mkoani Tabora kwenye semina ya mameneja na wakurugenzi wa NHC inayoendelea katika Hoteli ya Tanga Beach Resort.

unnamed (1)

Meneja wa NHC Mkoa wa Dodoma, Itandula Gambalagi akiwasilisha ripoti ya utekelezaji wa mradi wa nyumba za gharama nafuu za NHC Mnyakongo, Kongwa Dodoma kwenye semina ya mameneja na wakurugenzi wa NHC inayoendelea katika Hoteli...

 

5 years ago

Michuzi

UJENZI MIRADI YA NHC WAMKUNA NAIBU WAZIRI MABULA

 Taswira ya Jengo la Ofisi ya Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) lilipo katika Shamba la Miti la Kilimanjaro Kaskazini wilaya ya Rombo mkoa wa Kilimanjaro. Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa wilaya ya Rombo, watendaji wa sekta ya ardhi katika ofisi ya ardhi ya mkoa wa Kilimanjaro pamoja na watumishi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) alipotembelea mradi wa ujenzi wa jengo la TFS katika shamba la Miti la Kilimanjaro...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS DR. JAKAYA KIKWETE AFURAHISHWA NA MIRADI YA SHIRIKA LA NYUMBA (NHC)

1w Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na David Shambwe Kulia Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wa Shirika la Nyumba (NHC) na Felix Maagi Kaimu Mkurugenzi Mkuu na Mkurugenzi wa Fedha wa Shirika hilo, Wakati alipowasili katika banda la (NHC) na kukagua, Kupata maelezo mbalimbali ya shughuli za miradi inayotekelezwa na shirika hilo. Wakati alipotembelea maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (TANTRADE) maarufu kama Sabasaba kwenye Viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere Barabara ya Kirwa...

 

9 years ago

Mwananchi

NHC yaweka rekodi ujenzi wa nyumba

Shirika la nyumba (NHC) limeweka historia kwa kujenga nyumba zaidi ya nusu ya zilizojengwa kwa miaka 50 iliyopita ndani ya kipindi cha miaka mitano tu.

 

11 years ago

Mwananchi

NHC waibuka na ujenzi nyumba maalumu

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), limeanza kujenga majengo rafiki kwa mazingira bora na kupunguza gharama za umeme na maji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani