Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NHC: Urasimu unachelewesha miradi ya nyumba

MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Nyumba nchini (NHC), Nehemia Mchechu ameomba halmashauri nchini kuondoa urasimu katika utoaji ardhi kuepusha unachelewesha wa mradi wa ujenzi wa nyumba za bei nafuu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

NHC yawaalika wawekezaji ujenzi miradi wa nyumba

SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limewaalika wawekezaji watakaoshirikiana nao katika ujenzi wa miradi ya nyumba inayofanyika nchini. Mkurugenzi wa Shirika hilo, Nehemiah Mchechu, alitangaza hayo jijini Dar es Salaam...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS DR. JAKAYA KIKWETE AFURAHISHWA NA MIRADI YA SHIRIKA LA NYUMBA (NHC)

1w Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na David Shambwe Kulia Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wa Shirika la Nyumba (NHC) na Felix Maagi Kaimu Mkurugenzi Mkuu na Mkurugenzi wa Fedha wa Shirika hilo, Wakati alipowasili katika banda la (NHC) na kukagua, Kupata maelezo mbalimbali ya shughuli za miradi inayotekelezwa na shirika hilo. Wakati alipotembelea maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (TANTRADE) maarufu kama Sabasaba kwenye Viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere Barabara ya Kirwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Bodi ya NHC yatembelea na kukagua miradi ya ujenzi wa nyumba jijini Arusha

Ujumbe wa wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya NHC ukiwa eneo linalomilikiwa na  NHC ambalo ujenzi wa Mji wa kisasa umeanza wakionyeshwa na Meneja wa NHC Mkoa wa Arusha Bw. James Kisarika chemchemu za maji yanayotiririka walipotembelea eneo hilo lenye hali ya hewa ya aina yake Jijini Arusha jana.

Usa River ni Arusha Tanzania ambapo NHC Shirika lenye dhamana ya kujenga nyumba bora hapa nchini limeanza kupanga mji huo wenye mandhari na hali ya hewa ya kuvutia. Hapa wajumbe wa Bodi ya NHC na...

 

11 years ago

Michuzi

JOPO LA WAHARIRI LATEMBELEA MIRADI YA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU WA NHC MTANDA, LINDI NA SHANGANI MTWARA

Juzi, Alhamisi (Julai 10, 2014) na jana Ijumaa (Julai 11, 2014) jopo la Jukwaa la wahariri takriban 85 walitembelea kwenye miradi yetu miwili, mmoja wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu Mtanda mkoani Lindi na mwingine wa nyumba za makazi za kati na juu zilizopo eneo la Shangani Mtwara.Jopo hilo likiongozwa na Mwenyekiti wa Jukwaa hilo, Absalom Kibanda na Katibu wa Jukwaa hilo, Neville Meena. Walisomewa taarifa fupi ya maendeleo ya ujenzi wa miradi ya Nyumba hizo zipatazo 30 Lindi ambazo sasa...

 

11 years ago

GPL

JOPO LA WAHARIRI LATEMBELEA MIRADI YA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU WA NHC MTANDA, LINDI NA SHANGANI MTWARA‏

Meneja wa Shirika la Nyumba Mtwara, Joseph John akizungumza na wahariri walipotembelea mradi wa nyumba za makazi za Shangani Mjini Mtwara jana jioni. Kutoka Kulia ni Theophi Makunga, Mhariri na Meneja Bishara wa Mwananchi Communications Limited, Jesse Kwayu Mhariri Mtendaji wa Nipashe na Bakari Machumu Mhariri Mtendaji wa Mwananchi Communications Limited.… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kasi ya Utekelezaji miradi ya NHC Mtwara yamhamasisha Mkurugenzi wa Bodi ya NHC

Mkurugenzi wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Subira Mchumo akielekeza jambo wakati wa ziara yake aliyoifanya kwenye mradi wa nyumba za gharama nafuu Masasi, mkoani Mtwara ambapo pamoja na mambo mengine amesifu kasi ya ujezi wa nyumba hizo unaozingatia viwango na muda na akawataka wafanyakazi wa NHC kuchapa kazi ili kufikia malengo yao waliyojiwekea. Kulia ni Mkurugenzi wa Fedha wa NHC, Felix Maagi, wa pili ni Eliaisa Keenja wa NHC, Meneja wa NHC mkoa wa Mtwara, Joseph John na Injinia...

 

10 years ago

Mwananchi

DC akemea urasimu miradi ya jamii

Maofisa wa tarafa, kata na vijiji wilayani hapa wamekemewa kwa tabia ya urasimu katika kutekeleza miradi ya kijamii.

 

9 years ago

Vijimambo

NHC YAZIDI KUPANUA MIRADI, PINDA AZINDUA JENGO LINGINE LA MAKAZI NHC PALACE ENEO LA VICTORIA JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki (wapili kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Nyumba (NHC), Nehemia Mchechu baada ya kuweka jiwe la Msingi la Jengo la makazi na Biashara la NHC Place linalojengwa katika eneo la Victoria jijini Dar es slaam Oktoba 20, 2015Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua pazia kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengoa makazi na biashara la Cictoria Place linalojengwa na NHC katika eneo...

 

9 years ago

Michuzi

NHC YAZINDUA UUZAJI WA NYUMBA ZA BIASHARA NA MAKAZI ZA MOROCCO SQUARE,WAZIRI KIRUKI AIPONGEZA NHC KWA UFANISI

Na Francis DandeNAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki, amelipongeza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwa mpango wake wa kujenga nyumba bora na kuwauzia wananchi kwa ajili ya  makazi na biashara.
Waziri Kairuki aliyasema  hayo juzi  jijini Dar es Salaam alipokuwa akizindua  mauzo ya nyumba  za biashara  na makazi zilizojengwa eneo la Morocco Square,  Kinondoni,  jijini Dar es Salaam.
Aliwapongeza Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu na wenzake kwa  kazi nzuri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani