Msajili wa Vyama vya Siasa arushiwa lawama mpya CUF
Chama cha Wananchi (CUF) upande wa Katibu Mkuu, Seif Sharif Hamad kimedai kuwa hatua ya ofisi ya Spika kumtambua Magdalena Sakaya kama kaimu katibu mkuu wa chama hicho ni maelekezo ya ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGa0Y6kLfZla91oqfmkX7w6XfoZdF-i6o-K1i5EBO8j9GeqCxhzlIQnp3-EF77F3P4P-9rBrLEwU3ArjG3ZGt48n/1.jpg?width=650)
9 years ago
VijimamboMSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-mbMo2RIkhrk/XnN-DtAnxMI/AAAAAAALkdY/0Vq_LBXoi70sQjqjAitQuaYrAUCi-9jrwCLcBGAsYHQ/s72-c/TAARIFA%2BKWA%2BUMMA-%2BOFISI%2BYA%2BMSAJILI%2BWA%2BVYAMA%2BVYA%2BSIASA.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/mPNKZ1VMfhM/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima27 Feb
Msajili avionya vyama vya siasa
MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, amevionya vyama vya siasa kujiepusha na vurugu, lugha za matusi, maandamano yasiyozingatia utaratibu uliowekwa kisheria na vitendo vya rushwa. Jaji Mutungi...
9 years ago
MichuziMSAJILI WA VYAMA VYA SIASA APIGA KURA
10 years ago
Habarileo11 Sep
Msajili kuhakiki wanachama vyama vya siasa
OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, inatarajia kufanya uhakiki wa wanachama wa vyama vyote vya siasa kupata takwimu sahihi ya idadi yao.
9 years ago
Habarileo10 Nov
Msajili aonya uanzishwaji wa vyama vya siasa holela
MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi ameonya tabia ya watu kuanzisha vyama vya siasa kama mchezo wa kuigiza na kuwarubuni Watanzania wakati ajenda zao hazina dhamira ya dhati kwa maendeleo ya nchi.
9 years ago
StarTV15 Nov
 Msajili wa vyama vya siasa aombwa kuzikemea Kauli za upotoshaji
Umoja wa maskani za CCM Zanzibar Ujirani Mwema wamuomba msajili wa vyama vya siasa Tanzania kukemea kauli za upotoshaji zinazotolewa na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa zinazoashiria uvunjifu wa amani nchini.
Wanasema mara baada ya uchaguzi mkuu uliofutwa Zanzibar, baadhi ya viongozi wamekuwa na kauli za uchochezi za wazi lakini msajili hajachukua hatua yoyote kukemea kauli hizo.
Akizungumza wakati wakitowa msimamo wao visiwani Zanzibar Mwnyekiti wa umoja huo Ali Muhammed Ali Lugha...