Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSF:Vita dhidi ya Ebola vinashindikana

Shirika la MSF linasema kuwa vita dhidi ya ugonjwa wa Ebola katika kanda ya Afrika Magharibi vinashindikana.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

MSF kujaribu tiba mpya dhidi ya Ebola

Shirika la Madaktari wasio na mipaka MSF limesema lina mpango wa kujaribu tiba mpya ya mapambano dhidi ya Ebola

 

10 years ago

Mwananchi

Vita dhidi ya ebola ni mapambano dhidi ya adui asiyeonekana

Tangu kuzuka kwa ugonjwa wa ebola nchini Guinea mwezi Machi mwaka huu, watu 2,500 wamefariki dunia kutokana na virusi vyake, zaidi ya nusu ni raia wa Liberia.

 

11 years ago

BBCSwahili

Vita dhidi ya homa ya Ebola

Viongozi wa Afrika wanakutana nchini Ghana kujadili mamna ya kukabiliana na ugonjwa huu ambao umezua taharuki Afrika Magharibi

 

10 years ago

BBCSwahili

Kenya yasaidia katika vita dhidi ya Ebola

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameadhidi kutoa mchango wa dola milioni moja kwa mataifa yanayokabiliwa na janga la Ebola

 

10 years ago

Mwananchi

Tuepuke siasa katika vita dhidi ya ebola

Habari za kifo cha mwanamke mmoja aliyedaiwa kuwa na dalili za ugonjwa wa ebola, ambacho kilitokea wiki iliyopita katika Hospitali Teule ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, kimeacha maswali mengi yanayohoji kama kweli wataalamu wetu wa afya wamepewa nafasi stahiki katika vita dhidi ya ugonjwa wa ebola.

 

10 years ago

Dewji Blog

Jitihada elekezi siri ya ushindi wa vita dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi katika kipindi cha mlipuko wa ebola

apollo-hospitals

Tarehe 1 Desemba kila mwaka watu wote duniani huazimisha Siku ya Ukimwi Duniani, siku ambayo ilianzishwa mnamo mwaka 1987 na ambayo hubeba maudhui mbali mbali ikiwa kwa mwaka huu ikibeba maudhui ya  Focus, Partner, Achieve: An AIDS-free Generation yaani Elekeza, Jiunge na Pata: Kizazi kisicho na Ukimwi. Ujumbe unaokumbusha jamii kuwa ugonjwa wa Ukimwi kuwa bado ni tatizo linalohitaji jitihada endelevu na elekezi hata katika wakati wa milipuko ya magonjwa mengine katika jamii. Siku ambayo...

 

10 years ago

BBC

Ebola lockdown will not help - MSF

A plan by Sierra Leone to lock down the country to control Ebola will not help and could allow the virus to spread, medical charity MSF says.

 

11 years ago

BBC

Ebola outbreak 'unprecedented' - MSF

The Ebola outbreak that has killed 78 people in Guinea is "unprecedented", medical charity Medecins Sans Frontieres says.

 

10 years ago

BBC

French MSF worker contracts Ebola

A French aid worker from the medical charity Medecins Sans Frontieres (MSF) has contracted the Ebola virus in Liberia, reports say.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani