Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSIBA WA VIJANA WAWILI WATIKISA MJI WA DODOMA KWA SIMANZI

Misiba ya vijana wawili,Matei John Mmassy Mfanyabiashara na mmiliki wa Klabu maarufu mjini Dodoma ya Matei Lounge na Wakili wa kujitegemea na Mkufunzi wa Chuo Kikuu cha St. John, Joseph Joshua Oguda waliofariki kwa ajali ya gari maeneo ya Ranchi ya mifugo,Narco iliyopo Kongwa nje kidogo ya mji wa Dodoma mapema wiki hii wakitokea Mjini Morogoro vimetikisa mji wa Dodoma na Viunga vyake.
Miili ya marehemu hao imeagwa leo kuanzia mchana katika ibada ya pamoja iliyo fanyika katika Uwanja wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Misiba ya vijana Matei na Ogunda yatikisa mji wa Dodoma

Na Deusdedit MoshiMisiba ya vijana wawili, Marehemu Matei John Mmassy, Mfanyabiashara na mmiliki wa Klabu maarufu mjini hapa ya Matei Lounge na Wakili wa kujitegemea na Mkufunzi wa Chuo Kikuu cha St.John, Marehemu Joseph Joshua Oguda waliofariki kwa ajali ya gari maeneo ya Ranchi ya mifugo, Narco iliyopo Kongwa mapema wiki hii wakitokea Mjini Morogoro vimetikisa mji wa Dodoma na Viunga vyake. Miili ya marehemu hao imeagwa leo kuanzia mchana katika ibada ya pamoja iliyofanyika katika Uwanja...

 

11 years ago

GPL

NI SIMANZI MSIBA WA MSANII RECHO

Baadhi ya wasanii wa Bongo Movies wakiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya taarifa za msiba wa msanii mwenzao, Rachel Haule 'Recho'. Mume wa marehemu Recho, George Saguda,akiwa na simanzi nzito kufuatia kifo cha…

 

10 years ago

Michuzi

mji wa musoma na vitongoji vyake wagubikwa na simanzi kubwa.

Pichani ni sehemu mojawapo ya mitaa ya Musoma mjini ikiwa na muonekano wa watu wachache mara baada ya kunaswa na Camera ya Globu ya Jamii mapema leo mchana,mji huo umegubikwa na simanzi na manjonzi makubwa kufuatia ajali mbaya ya mabasi mawili yaliyogongana uso kwa uso likiwe gari ndogo,na kupelekea kuondoa uhai wa watu takribani 40 na zaidi katika kijiji cha Sabasaba wilayani Butiama mkoani Mara.

 

11 years ago

GPL

KIGAMBONI MCHAKATO WA MJI MPYA ULIVYOGEUKA MSIBA KWA WANANCHI

Na Hashim Aziz
Mwaka 2008, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ilitangaza kubuni mradi wa ujenzi wa mji mpya wa kisasa wa Kigamboni ambao kwa mujibu wa taarifa hiyo, ungeanza kutekelezwa miaka mitano baadaye, yaani 2013 na kuendelea kwa miaka kadhaa hadi 2032 ukitarajiwa kugharimu zaidi ya Sh. Trilioni 11. Taarifa hizo zilipokelewa kwa shangwe na wananchi wa jimbo hilo kwani pia waliahidiwa kulipwa fidia nono....

 

9 years ago

Mwananchi

Majambazi yenye silaha watikisa mji wa Moshi

Watu wanaoshukiwa kuwa majambazi wakiwa bunduki aina ya shortgun, wamevamia baa maarufu ya Rau Pub ya mjini hapa Mkoa wa Kilimanjaro na kufyatua risasi kadhaa, kabla ya kupora zaidi ya Sh800,000 za baa hiyo na mali mbalimbali za wateja.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mbowe, Ndesamburo na Jafary Michael watikisa mji wa Moshi

E86A1323 (1280x853)

Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini Philemon Ndesamburo akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway.

E86A1316 (1280x853)

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi, Jafary Michael akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway mjini Moshi. Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akiwa na Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro na Mbunge wa jimbo la Moshi mjini, Philemon Ndesamburo walipokutana wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya...

 

10 years ago

Vijimambo

MBOWE,NDESAMBURO NA JAFARY MICHAEL WATIKISA MJI WA MOSHI

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi ,Jafary Michael akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway mjini Moshi .Mwenyekiti wa Chadema taifa,Freman Mbowe akiwa na Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro na Mbunge wa jimbo la Moshi mjini ,Philemon Ndesamburo walipokutana wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway mjini Moshi,wengine ni Mwenyekiti wa BAWACHA mkoa wa Kilimanjaro ,Helga Mchomu .Mamia ya wananchi waliohudhulia mkutano huo...

 

10 years ago

Michuzi

MBOWE,NDESAMBURO,JAFARY MICHAEL WATIKISA MJI WA MOSHI

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi ,Jafary Michael akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway mjini Moshi .Mwenyekiti wa Chadema taifa,Freman Mbowe akiwa na Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro na Mbunge wa jimbo la Moshi mjini ,Philemon Ndesamburo walipokutana wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway mjini Moshi,wengine ni Mwenyekiti wa BAWACHA mkoa wa Kilimanjaro ,Helga Mchomu .Mamia ya wananchi waliohudhulia mkutano huo...

 

11 years ago

Habarileo

Polisi washikilia vijana wawili kwa noti bandia

Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya, Ahmed MsangiPOLISI mkoani hapa inawashikilia vijana wawili kwa tuhuma za kukutwa na noti bandia zenye thamani ya Sh 285,000.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani