Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majambazi yenye silaha watikisa mji wa Moshi

Watu wanaoshukiwa kuwa majambazi wakiwa bunduki aina ya shortgun, wamevamia baa maarufu ya Rau Pub ya mjini hapa Mkoa wa Kilimanjaro na kufyatua risasi kadhaa, kabla ya kupora zaidi ya Sh800,000 za baa hiyo na mali mbalimbali za wateja.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MBOWE,NDESAMBURO,JAFARY MICHAEL WATIKISA MJI WA MOSHI

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi ,Jafary Michael akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway mjini Moshi .Mwenyekiti wa Chadema taifa,Freman Mbowe akiwa na Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro na Mbunge wa jimbo la Moshi mjini ,Philemon Ndesamburo walipokutana wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway mjini Moshi,wengine ni Mwenyekiti wa BAWACHA mkoa wa Kilimanjaro ,Helga Mchomu .Mamia ya wananchi waliohudhulia mkutano huo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mbowe, Ndesamburo na Jafary Michael watikisa mji wa Moshi

E86A1323 (1280x853)

Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini Philemon Ndesamburo akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway.

E86A1316 (1280x853)

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi, Jafary Michael akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway mjini Moshi. Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akiwa na Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro na Mbunge wa jimbo la Moshi mjini, Philemon Ndesamburo walipokutana wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya...

 

10 years ago

Vijimambo

MBOWE,NDESAMBURO NA JAFARY MICHAEL WATIKISA MJI WA MOSHI

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi ,Jafary Michael akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway mjini Moshi .Mwenyekiti wa Chadema taifa,Freman Mbowe akiwa na Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro na Mbunge wa jimbo la Moshi mjini ,Philemon Ndesamburo walipokutana wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway mjini Moshi,wengine ni Mwenyekiti wa BAWACHA mkoa wa Kilimanjaro ,Helga Mchomu .Mamia ya wananchi waliohudhulia mkutano huo...

 

10 years ago

Michuzi

MSIBA WA VIJANA WAWILI WATIKISA MJI WA DODOMA KWA SIMANZI

Misiba ya vijana wawili,Matei John Mmassy Mfanyabiashara na mmiliki wa Klabu maarufu mjini Dodoma ya Matei Lounge na Wakili wa kujitegemea na Mkufunzi wa Chuo Kikuu cha St. John, Joseph Joshua Oguda waliofariki kwa ajali ya gari maeneo ya Ranchi ya mifugo,Narco iliyopo Kongwa nje kidogo ya mji wa Dodoma mapema wiki hii wakitokea Mjini Morogoro vimetikisa mji wa Dodoma na Viunga vyake.
Miili ya marehemu hao imeagwa leo kuanzia mchana katika ibada ya pamoja iliyo fanyika katika Uwanja wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Majambazi waua polisi, wapora silaha za kivita

WATU sita wanaodhaniwa kuwa majambazi, wamemuua askari polisi wa Kituo kidogo cha Polisi kilichopo Mkamba, Wilaya ya Mkuranga, mkoani Pwani na kuwajeruhi askari mgambo wawili baada ya kuvamia kituo hicho....

 

11 years ago

Habarileo

Majambazi waua Polisi kituoni, wapora silaha

MAJAMBAZI wamevamia Kituo cha Polisi Kimanzichana mkoani Pwani, na kuua askari mmoja, D.9887 Koplo Joseph Ngonyani, na kupora silaha tano zenye risasi.

 

11 years ago

Mwananchi

Majambazi wauteka Mji wa Geita, waua

Majambazi wawili jana walizua taharuki katika Mji wa Geita baada ya kuvamia na kupora fedha katika maeneo mawili tofauti kisha kumuua mtoa huduma za fedha kupitia mitandao ya simu.

 

11 years ago

Michuzi

Majambazi 10 wanaounda mtandao hatari wa uhalifu nchini wametiwa mbaroni, silaha mbalimbali zakamatwa.

 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova akiongea na Waandishi wa Habari Huku akionyesha baada ya Silaha Kituo cha Polisi cha Kati Dar es salaam.--MAJAMBAZI 10 wanaounda mtandao hatari wa uhalifu nchini, wametiwa mbaroni wakati wa msako mkali uliofanikisha pia kukamatwa kwa silaha mbalimbali.

Silaha hizo ni bunduki tisa zikiwemo SMG tatu, bastola mbili, short gun nne na risasi 15 zilikamatwa.

Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, aliyasema hayo...

 

11 years ago

GPL

MAJAMBAZI 10 WANAOUNDA MTANDAO HATARI WA UHALIFU NCHINI WAMETIWA MBARONI, SILAHA MBALIMBALI ZAKAMATWA

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova akiongea na Waandishi wa Habari Huku akionyesha baada ya Silaha Kituo cha Polisi cha Kati Dar es salaam. MAJAMBAZI 10 wanaounda mtandao hatari wa uhalifu nchini, wametiwa mbaroni wakati wa msako mkali uliofanikisha pia kukamatwa kwa silaha mbalimbali. Silaha hizo ni bunduki tisa zikiwemo SMG tatu, bastola mbili, short gun nne na risasi 15 zilikamatwa. Kamishna wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani