Msierra Leone auawa
RAIA wa Sierra Leone, Abdul Koroma (33) aliyekuwa anakabiliwa na kesi ya kukutwa na dawa za kulevya, amekufa papo hapo baada ya kupigwa risasi, alipokuwa akijaribu kutoroka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo07 Jan
Mwili wa Msierra Leone aliyeuawa akitoroka wasota Muhimbili
WAKATI mwili wa mtuhumiwa wa dawa za kulevya, Abdul Koroma (33) aliyeuawa wakati akijaribu kutoroka ukiendelea kuhifadhiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Jeshi la Polisi katika Mkoa wa Kipolisi wa Ilala limesema linasubiri kujitokeza kwa ndugu wa marehemu wakati wowote kwa ajili ya kuja kuuchukua mwili huo.