MSIKITI WA MAKUTI ZANZIBAR UNAVYOONEKANA KISASA
Sehemu ya mbele ya Msikiti huo
ZanziNews
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
DKT. SHEIN AFUNGUA MSIKITI WA MAKUNDUCHI,ZANZIBAR


11 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MSIKITI KIBOJE UWANDANI ZANZIBAR
11 years ago
Michuzi.jpg)
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekabidhi rasmi hati ya umiliki wa matumizi ya Msikiti Muhammad (SAW) wa mwanakwerekwe
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekabidhi rasmi hati ya umiliki wa matumizi ya Msikiti Muhammad { SAW } uliopo nyuma ya Tawi la Benki ya Kiislamu ya Watu wa Zanzibar {PBZ } uliopo Mwanakwerekwe kwa waumini wa Dini ya Kiislamu wa Mtaa huo ili waendelee kuutumia katika Ibada zao mbali mbali za kila siku.
Msikiti huo ulikuwa umefungwa kutumika kwa suala lolote la ibada kwa karibu miaka 14 sasa tokea miaka ya 2000 baada ya kutokea hitilafu ya umiliki wa msikiti huo baina ya waumini...
10 years ago
Michuzi.jpg)
Maalim seif azindua msikiti wa Ijumaa MASJIDIL AQSAA katika kijiji cha Kiboje Mkwajuni, Zanzibar
Na Hassan Hamad (OMKR) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amewasisitiza waislamu nchini kuachana na tabia ya kugombania misikiti, kwani haisaidii kuendeleza dini hiyo. Amesema misikiti ni nyumba za Mwenyezi Mungu, hivyo hakuna sababu kwa waislamu kulumbana kwa sababu za kugombea uongozi au kutokana na tofauti ya kimadhehebu. Maalim Seif ametoa nasaha hizo wakati akifungua msikiti wa Ijumaa MASJIDIL AQSAA katika kijiji cha Kiboje Mkwajuni, Wilaya ya Kati...
11 years ago
Tanzania Daima30 Jan
Serikali kuleta meli ya kisasa Zanzibar
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar ipo mbioni kuleta meli kubwa na ya kisasa itakayokuwa ikisafirisha abiria kutoka Unguja kwenda Pemba ambayo itakuwa na garantii ya usalama. Naibu Katibu Mkuu wa Chama...
10 years ago
Michuzi
BODI YA CHAKULA,MADAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR KUJENGA MAABARA YA KISASA YA KIMATAIFA

Hayo ameyasema leo huko Baraza la Wawakilishi nje kidogo ya Mji wa Zanzibar wakati akijibu swali la Mwakilishi wa Jimbo la Muyuni Mhe. Jaku Hashimu Ayoub aliyetaka kujua...
10 years ago
Vijimambo
BODI YA CHAKULA,MADAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR KUJENGA MAABARA YA KISASA YA KIMATAIFA

Na Ali Issa Maelezo Zanzibar. Naibu waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mahamoud Thabiti Kombo amesema bodi ya Chakula, Madawa na Vipodozi inajenga maabara ya kisasa ya uchunguzi wa madawa , chakula na vipodozi ambayo itakuwa na ubora wa Kimataifa.
Hayo ameyasema leo huko Baraza la Wawakilishi nje kidogo ya Mji wa Zanzibar wakati akijibu swali la Mwakilishi wa Jimbo la Muyuni Mhe. Jaku Hashimu Ayoub aliyetaka kujua...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania