Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msilie muenzini Sokoine kwa uadilifu wake-JK

RAIS Jakaya Kikwete amesema taifa halipaswi kulia kutokana na kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Moringe Sokoine, kwani kufanya hivyo ni sawa na kukata tamaa na kushindwa kuenzi mfano wa maisha ya uadilifu na uaminifu katika kazi zilizomfanya awe alama na kielelezo cha uongozi bora nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Wabunge msilie machozi ya Mamba

KITENDO  cha Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuamua kusimama kidete na kuonyesha ushupavu na nguvu za kuikalia kooni serikali kuhusu kashfa ya Escrow kusifanane na machozi ya...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE ATOA RAI KWA MADHEHEBU KUOMBEA UADILIFU KWA VIONGOZI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,  Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) (wa pili  kulia), akiongozana na Rais wa Baraza Kuu la Makanisa ya Sabato Duniani,  Askofu Ted Wilson (wapili  kushoto),  Waziri wa Kilimo, Mhe. Stephen  Wassira (kushoto), pamoja  na  Mchungaji Blasius Luguri, Mwenyeji wa Kongamano la Kimataifa la Utume  kuingia katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Mhe. Membe alikuwa mgeni rasmi katika Sherehe za ufungaji Kongamano la Kimataifa la Utume kwa Kanisa la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waziri Mkuya ahimiza uadilifu kwa wafanyakazi

WAZIRI wa Fedha, Saada Mkuya, amewataka wafanyakazi wa wizara yake kujiepusha na vishawishi mbalimbali vitakavyochangia kutoa rushwa au kupokea. Alitoa tahadhari hiyo jijini Dar es Salaam jana wakati wa ufunguzi...

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Shein kioo kipya kwa uadilifu Z’bar

Watu wengi hawakuamini  kama Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein, angehimili mikikimikiki na dhoruba  ya kuoengoza  Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) hatimaye  ifikishe miaka mitano madarakani na kuifikisha ngwe ya  uchaguzi wa mwaka 2015 bila Serikali hiyo kuyumba  au kugawanyika.

 

9 years ago

Habarileo

Kairuki ahimiza uadilifu kwa watumishi wa umma

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Angella Kairuki amesema kila mtumishi wa umma anatakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia taratibu na uadilifu bila kutoka nje ya mstari. Aliyasema hayo katika kikao kazi na wafanyakazi wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma jana.

 

11 years ago

Habarileo

Ndugai ahimiza watumishi kufanya kazi kwa uadilifu

NAIBU Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai amewashauri watumishi wanaofanya kazi kwenye Halmashauri ya Kongwa, mkoani Dodoma, kuiga mwenendo wa uaminifu na uadilifu katika utumishi wa umma.

 

9 years ago

Michuzi

Ahadi ya Uadilifu itaimarisha maadili ya kibiashara, huduma kwa umma

Na Mwandishi Wetu 
“Suala la maadili si jipya, Watanzania watakumbuka tangu enzi la Azimio la Arusha misingi ya maadili imekuwa ikisisitizwa kama kijenzi muhimu cha ufanisi katika utoaji wa huduma kwa umma,” ni kauli ya Tixon Nzunda, Naibu Kamishna wa Maadili aliyoitoa siku ya uzinduzi wa Ahadi ya Uadilifu, Agosti 14, 2015, Ikulu Dar es Salaam. 
Kauli hii inasadifu ninachotaka kukieleza hapa katika makala haya na kwa hakika kumpa kongole Rais anayemaliza muda wake, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete...

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA ATOA POLE KWA FAMILIA YA SOKOINE


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na familia ya Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania, Hayati Edward Moringe Sokoine wakati alipokwenda kutoa pole kwa familia hiyo imeondokewa  na Lazaro Edward Sokoine jijini Dar es salaam, Machi 29, 2020. Kutoka kushoto ni Balozi Joseph Sokoine ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Makamu wa Rais, Halima Jama, Mama Napono Sokoine , Christina Towo Sokoine na Kulia ni Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Kivuyo LembursWaziri Mkuu, Kassim...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani