Waziri Mkuya ahimiza uadilifu kwa wafanyakazi
WAZIRI wa Fedha, Saada Mkuya, amewataka wafanyakazi wa wizara yake kujiepusha na vishawishi mbalimbali vitakavyochangia kutoa rushwa au kupokea. Alitoa tahadhari hiyo jijini Dar es Salaam jana wakati wa ufunguzi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo30 Dec
Kairuki ahimiza uadilifu kwa watumishi wa umma
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Angella Kairuki amesema kila mtumishi wa umma anatakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia taratibu na uadilifu bila kutoka nje ya mstari. Aliyasema hayo katika kikao kazi na wafanyakazi wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma jana.
11 years ago
Habarileo03 May
Ndugai ahimiza watumishi kufanya kazi kwa uadilifu
NAIBU Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai amewashauri watumishi wanaofanya kazi kwenye Halmashauri ya Kongwa, mkoani Dodoma, kuiga mwenendo wa uaminifu na uadilifu katika utumishi wa umma.
11 years ago
Mwananchi11 Mar
RC Mara ahimiza uadilifu
9 years ago
Habarileo09 Dec
RC ahimiza uadilifu kutimiza wajibu
VIONGOZI na watumishi wa umma mkoa wa Ruvuma wametakiwa kuwa waadilifu na waaminifu wakati wanapotekeleza majukumu yao kwa wananchi. Rai hiyo imetolewa jana na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu wakati akizindua baraza la madiwani la halmashauri ya wilaya ya Tunduru.
9 years ago
Habarileo20 Nov
Ahimiza wadau kuepusha madhara kwa wafanyakazi wa majumbani
KAMISHNA wa Kazi, visiwani hapa, Ali Ibaraja amesema ipo haja ya wadau wa kazi kushirikiana ili kuepusha kutokea kwa madhara mbalimbali yanayowapata wafanyakazi wa majumbani.
10 years ago
GPLSHIGONGO AHIMIZA UPENDO NA BIDII KWA WAFANYAKAZI GLOBAL
10 years ago
MichuziWAZIRI MEMBE ATOA RAI KWA MADHEHEBU KUOMBEA UADILIFU KWA VIONGOZI
10 years ago
Dewji Blog02 Oct
Uzinduzi wa redio jamii Uvinza: Mkuu wa Mkoa ahimiza weledi, uadilifu na amani
Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mwalimu Hadijah Nyembo (kulia) akitoa nasaha zake kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Luteni Kanali Mstaafu Issa Machibya (wa pili kulia) kuzungumza na wakazi wa wilaya ya Uvinza kwenye sherehe za uzinduzi wa kituo cha redio jamii Uvinza FM mkoani Kigoma. Kutoka kushoto ni Meneja wa huduma za kijamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi, Mshauri na Mkufunzi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) ambao ndio...