Msumbiji, Zambia zashinda
Timu za taifa za Msumbiji na Zambia zimepata ushindi katika kusaka tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia nchi Urusi 2018.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboRAIS WA MSUMBIJI ATEMBELEA CHUO CHA DIPLOMASIA, AFUNGUA KONGAMANO LA BIASHARA NA KUZUNGUMZA NA RAIA WA MSUMBIJI WAISHIO NCHINI
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya akiwajadiliana jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Diplomasia (CFR), Balozi Mwanaidi Maajar huku Mkuu wa Chuo hicho Balozi Mohammed Maundi akisiskiliza wakati viongozi hao wakisubiri kumpokea Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi alipotembelea Chuoni hapo leo tarehe 18 Mei, 2015 wakati akiendelea na ziara yake ya kitaifa ya siku tatu hapa nchini. Chuo cha Diplomasia kilichopo...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-iMzXMcHxuWs/U7uLnf3zC6I/AAAAAAAFw_Y/TP0FNkaGr8Q/s72-c/image.jpeg)
BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA AKUTANA NA WATANZANIA WAJASIRIAMALI WAISHIO NDOLA ZAMBIA
Balozi wa Tanzania nchini Zambia,Mhe Balozi Grace Mujuma tarehe 2 Julai hadi 6 Julai 2014 alifanya ziara ya kikazi ya siku nne jimbo la Copperbelt mji wa Ndola. Katika ziara hiyo, Mhe Balozi aliambatana na Afisa Ubalozi Richard M. Lupembe. Sambamba na ziara hiyo, tarehe 6 Julai 2014 Mhe Balozi alikutana na kufanya mkutano na Watanzania ambao ni wajasiriamali wadogo wadogo wanaoishi Mjini Ndola Zambia.
Katika mkutano huo, Watanzania walikuwa na mengi ya kumweleza Mhe Balozi kupitia risala...
Katika mkutano huo, Watanzania walikuwa na mengi ya kumweleza Mhe Balozi kupitia risala...
9 years ago
BBCSwahili25 Aug
Kenya na Ethiopia zashinda dhahabu
David Rudisha alikabili maswali mengi kuhusu uwezo wake wa kuimarika katika mbio za mita 800 baada ya kushinda dhahabu katika mashindano ya riadha ya Beijing.
9 years ago
BBCSwahili05 Nov
Beyern, Barcelona, Chelsea zashinda UEFA
Timu za Barcelona na Chelsea na Bayern Munich jana zilishinda katika mechi zao za klabu Bingwa barani Ulaya ziilizochezwa usiku wa kuamkia leo.
9 years ago
BBCSwahili26 Sep
Mancity yalala,Arsenal na Man U zashinda
Manchester City imepoteza mechi ya pili mfulululizo huku Harry kane akifunga bao lake la kwanza msimu huu na kuiwezesha Tottenham kutoka nyuma na Kuichapa Manchester City mabao 4-1.
10 years ago
BBCSwahili09 May
Man United,Burnley na Stoke zashinda
Marouane Fellaini alifunga bao la ushindi katika kipindi cha pili cha mechi dhidi ya Crystal Palace na kuipatia Manchester United ushindi wa kufuzu katika kombe la vilabu bingwa Ulaya.
9 years ago
BBCSwahili17 Sep
Vpl:Yanga, Simba,Azam zashinda
Vigogo vya ligi kuu ya Tanzania bara Simba,Yanga na Azam vimeibuka na ushindi katika michezo yao ya mzunguko wa pili
9 years ago
BBCSwahili13 Oct
Euro:England, Hispania zashinda tiketi
Timu ya taifa ya England imeshinda mchezo wake wa kumi katika michezo kumi ya kusaka tiketi ya kushiri michuano ya Euro mwaka 2016
9 years ago
BBCSwahili04 Nov
Real Madrid na Man City zashinda UEFA
Mechi za Klabu Bingwa zilizochezwa hapo jana Real Madrid na Manchester City ni miongoni mwa Timu zilizopata ushindi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania