Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTAANI KWETU KIMENUKA!

Waswahili siku hizi wana neno lao utasikia ‘kimenuka’, ukisikia hilo ujue mambo yamekaa fyongo, basi hapa mtaani kwetu habari ndiyo hiyo. Uchaguzi ndiyo huo unakuja, homa inazidi kupanda, bendera za kila rangi zinaongezeka, maspika yanaongezeka nguvu, kila upande unaelezea jinsi utakavyoboresha maisha yetu, na hicho ndicho wananchi tunachokitaka. Ishu hapa ni kupata viongozi watakaotuletea maendeleo na kuboresha hali tuliyo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KUTOKA MTAANI KWETU KIGAMBONI

Bei ya  'Apple' ni shlingi 500  katika kituo  kikuu cha mabasi  kigamboni jijini Dar es Salaam.( Picha zote,Emmanuel Massaka,Michuzi Tv)

 

5 years ago

Michuzi

KUTOKA MTAANI KWETU NDANI YA PWANI

 Madereva wa bodaboda
wakikatiza katika viunga vya Mtipesa  wilaya ya Mkuranga  mkoa wa
Pwani  wakiwa wamepakia abiria na mizigo  huku wakiwa hawajavaa kofia
ngumu jambo ambalo ni hatari kwa maisha yao. (Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi TV)

Madereva wa bodaboda wakikatiza katika viunga vya Mtipesa  wilaya ya Mkuranga  mkoa wa Pwani  wakiwa wamepakia abiria na mizigo  huku wakiwa hawajavaa kofia ngumu jambo ambalo ni hatari kwa maisha yao.
 (Picha zote na Emmanuel Massaka wa Michuzi...

 

5 years ago

Michuzi

KUTOKA MTAANI KWETU MKURANGA LEO

Mjasiliamali wa samaki katika kituo cha Mabasi cha Mkuranga mkoa wa Pwani ,akitayarisha Samaki kwa lengo la kuwauza kwa wateja mbalimbali watakaofika katika kituo hicho kama inavyoonekana pichani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)Kazi ikiendeelea ya kuuza samaki katika kituo cha Mabasi Tabata Segerea Wilaya ya Ilala Jijini Da es Salaam.

 

5 years ago

Michuzi

KUTOKA MTAANI KWETU NDANI YA JIJI

 Bei za mchele katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam  kamainavyoonekana katika picha.Bei za bidhaa mbalimbali katika maeneo mbalimbali ya jiji laDar es Salaam, kamazinavyo onekana katika picha.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)Baadhi ya wananchi wa jiji la Dar es Salaam wakinunu mahitaji yao mbalimbali katika duka la vyakula kamainavyo onekana pichani. (Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)

 

5 years ago

Michuzi

KUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI KIGAMBONI

Baadhi ya nyumba zilizopo mtaa wa Chadigwa wilaya ya Kigamboni  jijini Dar es Salaam ambazo wakazi wake huwa katika wakatimgumu na hasa nyakati hizi za mvua, zikiwa zimezingirwa na maji kama inavyonekana picha kutokana na ujenzi usio na mpangilio katika eneo hilo,(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)

 

5 years ago

Michuzi

KUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI YA POSTA


 Majasiriamali akiuza vitafunwa mbalimbali katika kituo cha mabasi cha Posta mpya wilaya ya Ilala  Jijini Dar es Salaam kama anavyoonekana pichani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv) Chapati na Maharage Mjasiriamali akiwa kazni kama anavyoonekana pichani.

 

5 years ago

Michuzi

KUTOKA MTAANI KWETU NDANI MBEZI LUIS

 Baadhi ya wananchi wa maneo mbalimbali katika jiji la Dar es salaam wakiwa katika soko la Mbezi Luis  wilaya ya Ubungo wakijipatia mahitaji yao mbalimbali ambapo fungu la Magimbi ni sh.1000 mpka 2000 
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv) Bei ya fungu la viazi katika soko la Mbezi Luis  wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam fungu linaanzia  shilingi 1000, 2000.Bei ya fungu la Magimbi na Viazi kati ya  sh.1000/= mpaka 2000/= katika soko la Mbezi Luis  wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam...

 

5 years ago

Michuzi

KUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI YA MAKUMBUSHO

Konda wa daladala ya Makumbusho Gerezani akihakikisha abilia wote wamepata vitakasa mikono kabla ya kuingia ndani ya daladala hiyo  ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kama inavyoonekana pichani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv) Baadhi ya wananchi wa jiji la Dar es salaam leo wakiwa katika Kituo cha daladala Makumbusho kuelekea maeneo mbalimbali huku wakiwa wamevaa Barakoa kwa ajili ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona.Wananchi wa jiji Dar es salaam leo...

 

5 years ago

Michuzi

KUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI YA KIGAMBONI

 Mjasiriamali akiuza vitafunwa mbalimbali katika kituo kikuu  cha mabasi  Feri  wilaya ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam kama anavyoonekana pichani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv) Mjasiriamali akiandaa  Chapati kama anayoonekana pichani  Mjasiriamali akindaa vifaa vyake baada ya kulalizi vitafunwa.              Majasiriamali wakiendelea na kazi kamainavyo onekana pichani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani