Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTANDAONI:Wolper Atolea Ufafanuzi Picha ya “ Jambazi la Bongo Movie”

Nguvu ya mitandao ya kijamii ni kubwa sio tu iliweza kusababisha mtu akajivuta taji la U-Miss bali hadi kuwapa ushidi kina Diamond na Idris..sasa sijui hii ya hii picha ya Jambazi la Bongo Movie ingetupeleka wapi.

Picha hii  inasambaa kwa kasi sana mitandaoni, imuonyesha jambazi akimuonyesha bastola mwandada (ambae bila shaka anaonekana mwigizaji Irene Uwoya). Sasa cha kishangaza wengi ni kwamba “kaka jambazi” amevua viatu!!!!!. Hii imepelekea watu wengi kuiponda sana tasnia ya filamu hapa...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

WOLPER: Mastaa wa Bongo Movie ni “Masnichi”

“Nawapenda sana Bongo Movie lakini chakusikitisha vile vichwa mnavyoviamini kwenye tasinia ndo masnichi wakubwa simtoke huko tafuteni kazi nyingne kama hamjasoma kama mimi jifunzeni kushona nguo kama mimi me sahivi na fundi wangu Mgece naingia class asubuh najioni nimeshachoka kutumikishwa na Wahindi ....kipaji changu kingine mitindo so najisogeza kwenye mitindo mbali mbali sio kubanana sehemu ambapo ampendani kazi majungu nakusnchiana kila siku .. Nawahindi awatetereki maana hao mnaowaita...

 

10 years ago

GPL

WOLPER AWAPIKU MASTAA BONGO MOVIE

Stori: Shani Ramadhani STAA Jacqueline Wolper Massawe, ambaye ni muigizaji mahiri wa filamu, amewapiku nyota wenzake wa tasnia hiyo baada ya kufanya kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa Jumamosi iliyopita kwa namna tofauti kabisa, kwani badala ya kuita marafiki kwenye pati kubwa inayoambatana na vyakula na vinywaji, yeye alikwenda kuwatembelea wazee wanaolelewa katika Kanisa Katoliki la Msimbazi, jijini Dar. Staa wa filamu Bongo...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha za Wolper Akifanya Mazoezi Zawa Gumzo Mtandaoni!!!

Picha za mrembo na mwigizaji wa sinema za kibongo, Jackline Masawe ‘Wolper’ alizoziweka mtandaono akiwa nafanya mazoezi ya viungo zimezua mjadala na maswali mengi.

Wolper ambae kwasaa anaonekana  kuwa ‘Bonge’ , wiki iliyopita alitangaza kuanza kufanya mazoezi ili aurudie mwili wake wazamani,  toka juzi amekuwa akitupia mtandaoni picha hizo hapo juu  akiwa mazoezini.

Mbali na mashabiki wake wengi kumpamoyo kuwa aendelee kukomaa na mazoezi, wapo ambao waliona kama mwanadada japokuwani kweli...

 

9 years ago

MillardAyo

Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha)

Najua nina watu wangu mnaopenda kufahamu magari wanayomiliki mastaa mbalimbali wakiwemo Bongo Movie na Bongo Fleva, sasa hapa nimefanikiwa kupata picha 11 za mastaa wanaomiliki magari makali Dar es Salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK […]

The post Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

GPL

DULLY SYKES ATOLEA UFAFANUZI WIMBO WAKE WA ‘MATUSI’

Msanii wa kitambo wa muziki wa kizazi kipya, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’. Siku chache baada ya wimbo wake wa Thats The Way uliojaa matusi yasiyoweza kuandikika gazetini kuanza kusambaa kwa kasi kwenye mitandao , msanii wa kitambo wa muziki wa kizazi kipya, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’ amefunguka kuwa halikuwa kusudio lake kuachia wimbo huo bali ulivuja kwa bahati mbaya mitandaoni. Akipiga stori na Showbiz...

 

9 years ago

Bongo5

Alikiba atolea ufafanuzi post ya ‘utata’ aliyoandika Instagram, na ampongeza Diamond kwa ushindi wa AFRIMA

12120276_163762000643678_1906855536_n

Alikiba ametolea ufafanuzi post yake ya Instagram iliyozua mjadala kwa mashabiki mbalimbali wa muziki ambao waliipokea kwa hisia tofauti.

12120276_163762000643678_1906855536_n

Siku ya Jumatatu Nov.16 Muimbaji huyo wa single mpya ‘Nagharamia’ aliandika, “Asanteni sana najua mmepiga kura sana lakini nilikuja kugundua baada ya kufuatilia kuwa kuna mambo yanaendelea ya watu wanadiriki hata kupoteza pesa zao kwaajili yangu ila nawaomba fans msinielewe vibaya I will always be there for you #hapakazitu #kingkiba,” post ambayo baadae...

 

11 years ago

CloudsFM

Picha> Baadhi ya wasanii wa bongo movie wakielezea ni jinsi gani wanaiaminia Tanzania

Ray msanii toka Bongo Movie akielezea ni jinsi gani yeye anaiaminia Tanzania....Wolper msanii toka Bongo Movie akielezea ni jinsi gani yeye anaiaminia Tanzania....

Mchopa msanii toka Bongo Movie akielezea ni jinsi gani yeye anaiaminia Tanzania....

Uwoya msanii toka Bongo Movie akielezea ni jinsi gani yeye anaiaminia Tanzania....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani