‘Mtoto wa boksi’ aanza kupatiwa tiba ya awali
Wataalamu wa magonjwa ya watoto wamesema, Nasra Rashid anatakiwa kupigwa picha ya x-ray ya mwili mzima ili kubaini mwili wake umeathirika kiasi gani na kumpatia tiba stahiki.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi23 Jun
Serikali ijayo ije na tiba ya elimu ya awali
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
‘Mtoto wa boksi’ hatunaye
Mtoto Nasra Rashid (4) aliyefichwa katika boksi akiwa na umri wa miezi tisa, amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa ajili ya uchunguzi na matibabu. Taarifa za...
11 years ago
Habarileo02 Jun
Buriani 'mtoto wa boksi'
MSIBA wa mtoto Nasra Mvungi (4), aliyeteswa kwa kufungiwa katika boksi kwa zaidi ya miaka mitatu, ambako ndiko alikokuwa akipewa chakula, kwenda haja kubwa na ndogo na kulala, umeibua simanzi jijini Dar es Salaam, Morogoro na katika maeneo mbalimbali nchini. Jana taarifa za kufariki kwa Nasra aliyekuwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, zilisambaa katika maeneo mbalimbali nchini kupitia mitandao ya kijamii na baadaye kuthibitishwa na Msemaji wa...
11 years ago
Tanzania Daima29 May
Majibu ya mtoto wa boksi leo
MAJIBU ya vipimo vya afya vilivyofanyika juzi kwa mtoto Nasra Rashid (4), aliyefichwa kwenye boksi mkoani Morogoro, kwa muda wa miaka minne, yanatarajiwa kutolewa leo. Mtoto huyo awali alilazwa katika...
11 years ago
Tanzania Daima30 May
Mtoto wa boksi apumulia mashine
MTOTO Nasra Rashid (4) aliyefichwa katika boksi kwa miaka minne mkoani Morogoro, sasa anaopumulia mashine katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Nasra, alilazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, alipohamishiwa...
11 years ago
Mwananchi02 Jun
Kauli ya mwisho ya ‘mtoto wa boksi’
11 years ago
Tanzania Daima31 May
Mtoto wa boksi aondolewa mashine
HALI ya mtoto Nasra Rashid (4) aliyefichwa katika boksi kwa miaka minne, inaendelea kuimarika baada ya kutolewa mashine maalumu ya kumsaidia kupumua. Siku mbili zilizopita, Nasra aliwekewa mashine na kupata...
11 years ago
Habarileo03 Jun
Bibi wa 'mtoto wa boksi' aibuka
WAKATI mtoto Nasra Mvungi (4), aliyeteswa na walezi kwa kuishi katika maboksi kwa zaidi ya miaka mitatu, akitarajiwa kuzikwa leo, bibi mzaa mama yake, Asha Abdalah, aliibuka jana kuomba mwili wa marehemu ili wakazike nyumbani kwao.
11 years ago
Habarileo28 May
'Mtoto wa boksi' yupo Muhimbili
MTOTO mwenye umri wa miaka minne aliyefungiwa ndani ya boksi kwa zaidi na miaka mitatu mkoani Morogoro, amehamishiwa katika Hos- pitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa ajili ya uchunguzi na tiba zaidi huku wataalamu wakikuna vichwa namna ya kumrudishia afya yake.