Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTOTO WA MIAKA 9 AVUNJA RECORD YA KUFIKA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO

Mtoto Idda Baita (9), akiinua mikono juu kwa furaha baada ya kufika kilele cha Mlima Kilimanjaro. MTOTO Idda Baita ambaye ni mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi ya Uwanja wa Ndege Moshi, amevunja rekodi ya kuwa mtoto wa kwanza wa kike kufika kilele cha Mlima Kilimanjaro chenye urefu wa Mita 5739. Idda alitumia njia ya Umbwe, Kibosho njia inayosemekana kuwa ni ngumu hata kwa watu wazima  kuelekea kilele cha...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MTOTO WA MIAKA TISA, IDDA BAITWA AELEKEA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO.

Mtoto Idda Baitwa akiwa na ndugu yake Leah Baitwa wakiwa wamepumzika baada ya kutembea umbari mrefu wakipanda mlima Kilimanjaro.Mtoto Idda Baitwa akijaribu kupita katika miamba kwa msaada wa fimbo wakati akipanda mlima Kilimanjaro."Hoi' ni baada ya kutembea umbali mrefu.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

GPL

KIJANA AVUA NGUO BAADA YA KUFIKA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO

KIJANA Ben Boleyn aliamua kuvua nguo baada ya kufika kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro nchini chenye joto la kati ya sentigrade 10 hadi 12. Ben Boleyn akiwa kilele cha Mlima Kilimanjaro. Ben alifanya hivyo baada ya kuwekeana dau la shilingi 500 na mwenzake miongoni mwa aliopanda nao mlima huo.…

 

5 years ago

Michuzi

MUONEKANO WA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO KWA SASA


Picha iliyopigwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete ikionesha muonekano wa juu wa Mlima Kilimanjaro Februari 12, 2020.

Dkt. Kikwete amesema kuwa picha hiyo ameipiga wakati akiwa njiani akitokea Nairobi kwenda Dar es Salaam, saa chache baada ya mazishi ya aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili nchini Kenya, Daniel Arap Moi.

 

10 years ago

Michuzi

Maafande wa Jeshi la Magereza Watinga Kilele cha Mlima Kilimanjaro

Baadhi ya Maafisa, Askari na Mtumishi raia ambaye pia Mhasibu Mkuu wa Jeshi la Magereza Estomih Hamis (Mzee wa Magereza Kileleni) wa saba kutoka kushoto wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika kilele cha Mlima Kilimanjaro asubuhi ya Machi 9, 2015 na kutundika bendera ya Jeshi hilo kileleni.Kiongozi wa Msafara wa Maafisa, Askari na baadhi ya watumishi raia wa Jeshi la Magereza waliopanda mlima Kilimanjaro Kamishna Msaidizi wa Magereza Alexander Mmasy akiwa katika uso wa...

 

11 years ago

Michuzi

JUST IN: MGENI AKWAMA KATIKA KILELE CHA MAWENZI MLIMA KILIMANJARO

Mtalii kutoka nchini Ujerumani anayefahamika kama Bi. Jeanne Traska (32) akiwa na muongoza wageni Athuman Juma leo majira ya saa mbili na nusu asubui wamekwama katika kilele cha Mawenzi Mlimani Kilimanjaro kwa kamba iliyonasa na kuwafanya wasiweze kushuka chini wala kwenda juu.

Bi. Jeanne na Athuman Juma walianza kupanda mlima kupitia Kampuni ya Nordic Tours tarehe 18.3.2014 kwa kutumia njia ya Rongai - Kibo –Marangu safari ambayo ingewachukua siku tano.  Hadi sasa taarifa za awali...

 

11 years ago

GPL

MTALII KUTOKA UJERUMANI AKWAMA KILELE CHA MAWENZI MLIMA KILIMANJARO

Mlima Kilimanjaro. Mtalii kutoka nchini Ujerumani anayefahamika kwa jina la Bi. Jeanne Traska (32) akiwa na muongoza wageni Athuman Juma leo majira ya saa mbili na nusu asubui wamekwama katika kilele cha Mawenzi Mlimani Kilimanjaro kwa kamba iliyonasa na kuwafanya wasiweze kushuka chini wala kwenda juu. Bi. Jeanne na Athuman Juma walianza kupanda mlima kupitia Kampuni ya Nordic Tours tarehe 18.3.2014 kwa kutumia njia ya Rongai -...

 

10 years ago

Vijimambo

KUNDI LA VIJANA MARAFIKI WA LOWASA WAFIKA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO.

Baadhi ya vijana ambao ni marafiki wa Lowasa wakiwa katika safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro.Kundi la marafiki wa Lowasa kutoka kana ya Kaskazini wakiwa katika kituo cha Kibo ,wakiwa katika maandalizi ya kuanza kwenda kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro.Sehemu ya juu ya mlima Kilimanjaro ikiwa imefunikwa kwa theruji.
Kundi la Marafiki wa Lowasa wakiwa katika kituo cha Stella,kikiwa ni kituo cha mwisho kuelkea kilele cha Uhuru .Mandhari mbalimbali zinayoonekana wakati wa kuupanda Mlima...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani