Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtoto wa Rais Banda afungwa jela

Mtoto wa Rais wa zamani wa Zambia, Andrew Banda amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela, baada ya kutiwa hatiani katika makosa ya kuhusika na rushwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MWANAFUNZI AFUNGWA JELA KWA KUMTUKANA RAIS KWENYE MTANDAONI

Mwanafunzi mmoja nchini Kenya amepewa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kumtukana rais wa Kenya Uhuru Kenyatta katika mtandao.Alan Wadiu Okengo mwenye umri wa miaka 25 pia atalipa faini ya dola 2,200 la sivyo ahudumie kifungo chengine cha mwaka mmoja.Alikuwa ameshtakiwa kwa kutoa matamshi ya chuki baada ya kusema kuwa watu wa kabila la rais la kikuyu wanafaa kuwekewa mipaka katika maeneo fulani.

Mwanablogu mashuhuri nchini humo pia alishtakiwa baada ya kumwita rais Uhuru Kenyatta 'rais ambaye...

 

10 years ago

Bongo5

Mwanamuziki maarufu wa Rwanda afungwa miaka 10 jela kwa kupanga njama dhidi ya Rais Kagame

Mahakama ya Rwanda Ijumaa iliyopita ilimhukumu mwanamuziki maarufu wa nchini humo, Kizito Mihigo kifungo cha miaka 10 jela kwa kosa la kupanga njama dhidi ya serikali ya Rais Paul Kagame. Kizito Mihigo Mihigo alipatikana na hatia ya kuanzisha kundi la kihalifu na njama ya kutekeleza mauaji japo jaji alitupilia mbali makosa ya kuhusika kwenye vitendo […]

 

10 years ago

Vijimambo

Muimbaji Maarufu Rwanda Afungwa Miaka 10 Jela kwa Kupanga Njama Kumuua Rais Kagame.

Muimbaji maarufu wa Rwanda amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela baada ya kushtakiwa kwa njama za kutaka kumuua Rais Kagame na kuonyesha chuki dhidi ya serikali.
Kizito Mihigo awali alisema alikuwa na makosa na kuomba msamaha, akimaanisha hukumu yake ipunguzwe.Kizito Mihigo amekuhumiwa jela miaka 10 kwa njama za kutaka kumuua Rais Paul KagameMshtakiwa mwenzake, Cassien Ntamuhanga kiongozi wa kituo cha redio ya Kikristo, alifungwa miaka 25 kwa ugaidi na matusi.Ameendelea kukataa mashtaka...

 

10 years ago

BBCSwahili

Yaya wa Uganda afungwa jela

Yaya wa Uganda aliyjeipata pabaya kwa kumchapa mtoto wa mwajiri wake, amehukumiwa jela miaka minne kwa kosa la kumtesa mtoto.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mhubiri afungwa jela maisha Rwanda

Mahakama Kuu nchini Rwanda imemhukumu kifungo cha maisha jela mhubiri aliyehusika katika mauaji ya kimbari ya 1994.

 

9 years ago

BBCSwahili

Aliyetongoza kupitia Facebook afungwa jela

Mwanaume aliyetongoza mwanafunzi mwenza kupitia Facebook kwa nia ya kushiriki ngono naye amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela

 

10 years ago

BBCSwahili

Nahodha,Costa Concordia afungwa jela

Nahodha wa meli ya Costa Concordia iliyosababisha vifo vya watu watu 32 wakiwemo wafanyakazi wa meli hiyo amehukumiwa kwenda jela.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwingereza Jermaine Grant afungwa jela Kenya

Mwanamume mmoja raia wa Uingereza, anayetuhumiwa kupanga mashambulio ya kigaidi, amefungwa jela miaka tisa na mahakama mjini Mombasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani