Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtwara yapiga hatua upatikanaji wa maji safi na salama

1

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Halima Dendegu akiwakaribisha wajumbe wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji iliyowasili mkoani humo kukagua miradi ya maji.

2

Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji Amina Makilagi akieleza lengo la ziara ya kamati hiyo mkoani Mtwara.

3

Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji Amina Makilagi, akizungumza na wanahabari kuhusu ziara ya kamati hiyo ambayo inahitimishwa leo wilayani Masasi mkoani Mtwara.

4

Mhandisi wa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

TPDC latoa Sh. Mil. 10 kuwezesha Upatikanaji Maji Safi Njia Nne

Shirika la Maendeleo la Petroli TPDC limetoa shilingi milioni kumi za kuwezesha upatikanaji wa maji safi kwenye kijiji cha Njia Nne kinachopitiwa na bomba la gesi.

Mkuu wa wilaya ya Mkuranga Abdallah Kihato ameagiza mradi huo kutotekelezwa kisiasa akiahidi kuchukua hatua kali dhidi ya matumizi yasiyo ya muhimu ya fedha hizo.

Kijiji cha Niia Nne kinapitiwa na mradi wa bomba la gesi linalotoka Mtwara hadi Dar es Salaam kwa kilomita nne.

Mkuu wa wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani ameonya kuhusiana...

 

10 years ago

Habarileo

8,000 wafaidika na maji safi na salama

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe.WANANCHI zaidi ya 8,000 wanaoishi katika vijiji vya Dala na Mvuha kata ya Mvuha, wilayani Morogoro, wameanza kunufaika na huduma ya maji safi na salama, baada ya kukamilishwa kwa upanuzi wa mradi wa kisima cha maji kilichopo katika kata hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wananchi Ngudu na matarajio ya kufaidi maji safi na salama

MAJI ni moja ya huduma za muhimu na za msingi kwa maisha ya binadamu. Mbali ya maji kutumika katika shughuli za kila siku za mwanadamu, mifugo na wanyamapori, pia ni...

 

10 years ago

Vijimambo

Mradi wa maji safi na salama wazinduliwa Kiwani, Pemba

AFISA Mdhamini Wizara ya Uwezeshaji Ustawi wa Jamii,Vijana Wanawake na watoto Pemba Mhe: Mauwa Makame Rajab, akikunjuwa kitambaa kuashiria ufunguzi wa mradi wa maji safi na salama huko Kiwani, ulijengwa kwa nguvu za Serikali na kugharimu zaidi ya Milioni 82.AFISA mdhamini Wizara ya Uwezeshaji Ustawi wa Jamii, Vijana Wanawake na Watoto Pemba Mhe:Mauwa Makame Rajab, akizungusha koki ya maji kuashiria uzinguzi wa mradi wa maji katika shehia ya kiwani, uliojengwa kwa nguvu za Serikali ambapo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanakijiji wa Muembe Majogoo kuondokewa na tatizo la maji safi na salama

760

Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi akiwapongeza Wananchi wa Kijiji cha Muembe Majogoo kwa ustahamilivu wao wa kukosa huduma za maji safi ambayo haiko mbali kupatikana muda mfupi ujao.(Picha na – OMPR – ZNZ).

Uongozi wa Jimbo la Kitope uko katika jitihada za kufanya maarifa ya kuhakikisha huduma za maji safi na salama inapatikana katika kijiji cha Muembe Majogoo ili kuwaondoshea u Wananchi wa Kijiji hicho usumbufu wa ukosefu wa huduma hiyo muhimu.

Mbunge wa Jimbo la Kitope ambae...

 

10 years ago

GPL

MAHABUSU YA WATOTO YAPATA MSAADA WA KIFAA CHA KUSAFISHA MAJI SAFI NA SALAMA

Kamishna wa Ustawi wa Jamii,Bw. Dunford Makalla akikata utepe kuashiria ufunguzi wa mtambo mpya wa kusafishia maji safi na salama katika Mahabusu ya Watoto iliyopo Upanga,jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni wafanyakazi wa Kampuni ya Davis&Shirtliff. Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya DAVIS & SHIRTLIFF, Bw. Benjamin Munyao akimuonyesha Kamishna Wa Ustawi wa Jamii, Bw.… ...

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA VISIMA VYA MAJI SAFI NA SALAMA MKOANI SINGIDA

 Mkurugenzi  Mtendaji wa  Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (katikati) akizindua Kisima cha maji katika Shule ya Sekondari Kinambeu, wilaya ya Iramba Mkoani Singida, mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Yahya Nawanda na Kulia ni Mratibu wa mradi huo kutoka  taasisi isiyo ya kiserikali ya Nkwamira, Noreen Mazalla.   Mkurugenzi  Mtendaji wa  Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (katikati) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Yahya Nawanda na Kushoto na kulia ni Mratibu wa mradi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani