Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mugabe ‘amlilia’ Nyerere, aisifia Tanzania

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe akifungua Mkutano wa Tatu wa Viongozi Vijana wa Afrika na China, uliofanyika Ngurdoto wilayani Arumeru mkoa wa Arusha mwishoni mwa wiki.MWENYEKITI wa Umoja wa Afrika (AU), Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amefungua mkutano wa tatu wa pamoja baina ya viongozi vijana wa Afrika na China, akitumia muda mwingi wa hotuba yake ‘kumlilia’ Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

TheCitizen

Mugabe’s concern on Nyerere’s legacy apt

On Saturday, Zimbabwe President Robert Mugabe described as embarrassing the failure by African leaders to honour Tanzania’s founding President, Mwalimu Julius Nyerere, for his role in liberating the Continent.

 

9 years ago

Bongo5

Mwimbaji wa Jamaica, Alaine aisifia ‘Never Ever’ ya Vanessa Mdee

Alaine TZ

Inatia moyo kuona jinsi muziki Bongo unavyozidi kupenya kwenye masikio ya mashabiki wa nje wakiwemo mastaa, hii ni kutokana na jitihada zinazofanywa na wasanii wa Tanzania wanaowekeza kufanya muziki mzuri na video kali.

Alaine TZ
Alaine alipotua Tanzania 2013

Baada ya mtangazaji maarufu wa Afrika Kusini, Bonang Matheba kuonesha kuukubali wimbo mpya wa Joh Makini aliomshirikisha AKA wa Afrika Kusini ‘Don’t Bother’ kwenye post ya AKA Instagram, mwimbaji mwingine wa Reggae kutoka Jamaica aliyewahi...

 

9 years ago

NewsDay

Mugabe trip to Tanzania ironic


NewsDay
Mugabe trip to Tanzania ironic
NewsDay
PRESIDENT Robert Mugabe left the country yesterday for the inauguration of Tanzania's fifth President John Pombe Magufuli, with analysts saying he should be ashamed to witness numerous power handovers in the region while he hangs on at home.
Public holiday as Magufuli takes oath of officeDaily News | The National Newspaper (press release) (blog)
20 African heads of state to attend Magufuli swearing-inIPPmedia
President Uhuru Kenyatta travels to...

 

10 years ago

AllAfrica.Com

Globetrotting Mugabe Hops From Tanzania to Ethiopia


New Zimbabwe.com
Globetrotting Mugabe Hops From Tanzania to Ethiopia
AllAfrica.com
PRESIDENT Robert Mugabe doggedly continues with his hectic foreign travel schedule, ignoring criticism from rivals even as his wife is reportedly seriously ill. Mugabe arrived in Ethiopia Sunday, the fifth country he has visited this month alone.
Mugabe Goes Insane, Invades Kids Meeting in TanzaniaZimEye - Zimbabwe News

all 3

 

10 years ago

Michuzi

Mwanafunzi wa Tanzania Aibuka mshindi wa Kwanza Tuzo ya Isha SADC, Rais Mugabe amtunuku Brigedia Jenerali(Mstaafu) Hashim Mbita

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza mwanafunzi wa kidato cha nne Neema Steven Mtwanga(16) anayesoma katika shule ya sekondari Naboti Makambako,Njombe baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika utunzi wa insha katika shindano lililoandaliwa na Jumuiya ya uchumi ya maendeleo kusini mwa Afrika(SADC).Rais Kikwete alimpongeza mwanafunzi huyo wakati wa hafla ya ufunguzi wa mkutano wa 34 wa wakuu wa nchi za SADC unaofanyika katika mji wa kitalii wa Victoria Falls, nchini Zimbabwe ambapo...

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Kitine: Nitairudisha Tanzania ya Mwalimu Nyerere

Mkurugenzi mkuu wa zamani wa Idara ya Usalama wa Taifa, Dk Hassy Kitine, ametangaza nia ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM, akisema “nipeni miaka mitano niirudishe Tanzania ya Mwalimu (Julius) Nyerere”.

 

9 years ago

Mwananchi

Athari za Nyerere katika chaguzi za Tanzania

Huwezi kusikiliza lolote kuhusu kampeni za uchaguzi Tanzania bila kulisikia jina la Mwalimu Julius Nyerere likitajwa kwa kunukuliwa alichokisema. Kila upande, uwe ni upinzani au Chama Cha Mapinduzi (CCM) mgombea akitaka kutia uzito maneno yake, atamnukuu Mwalimu Nyerere.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani