Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mugabe azomewa na wapinzani

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amezomewa na wabunge wa upinzani alipokuwa anahutubia nchi kupitia bunge la nchi hiyo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Mugabe azomewa na wapinzania.

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amezomewa na wabunge wa upinzani alipokuwa anahutubia nchi kupitia bunge la nchi hiyo. Wakati wa hotuba hiyo kulikua na kelele za wabunge kiasi cha sauti ya kiongozi huyo kutosikika vizuri. Wabunge hao wanadai kuwa hakukua na jipya katika mipango aliyoeleza Rais Mugabe kuisaidia nchi hiyo kuondoka katika mgogoro wa kiuchumi unaoukabili. Pia waliimba nyimbo kuhusu chama tawala nchini humo kupoteza mvuto. Wabunge wa chama tawala cha...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ni nani wapinzani wakuu wa Mugabe?

Chama tawala nchini Zimbabwe Zanu-PFklinafanya kongamano lake la kuchagua vigogo wa chama mwezi huu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mugabe awashtumu wapinzani wake chamani

Rais Robert Mugabe amewalaumu watu fulani ndani ya chama tawala cha ZANU-PF kwamba wanapanga kumng'atua mamlakani.

 

10 years ago

Vijimambo

Mugabe kwa wapinzani:'Sing'atuki ng'o!'-BBC

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amelaumu watu fulani ndani ya chama tawala cha ZANU-PF kwamba wanapanga kumng'atua mamlakani.

Akihutubia kongamano la chama hicho, Mugabe amesema kuwa kuna majaribio ya kuwahonga wajumbe kumpinga kama kiongozi, lakini wajumbe hawawezi kupokea hongo.

Kwa hilo amesema kuwa atapambana na rushwa ndani ya chamana kukabiliana na maafisa wa chama ambao kazi yao ni kutoa hongo.Wanachama wengi wa chama hicho wangali ni wafuasi sugu wa Rais Mugabe
Hasira ya Mugabe iliokana...

 

10 years ago

Vijimambo

Muhongo azomewa

  Lissu asema amelidanganya Bunge
  Wabunge wa CCM wamtetea Pinda
  Lusinde amlipua Zitto KabweWaziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amekumbana na wakati mgumu, ikiwa ni pamoja na kuzomewa na wabunge na kukatizwa wakati akitoa maelezo kufuatia taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kupendekeza yeye pamoja na viongozi wengine waandamizi wa serikali, akiwamo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wawajibishwe.

Mbali na kukumbana na wakati mgumu kabla na wakati...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge azomewa bungeni

MBUNGE wa Arumeru Magharibi, Dk. Godluck Ole Medeye (CCM), amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuzomewa na baadhi ya wabunge wenzake kutokana na kushindwa kuuliza swali la nyongeza. Hali hiyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nahodha azomewa bungeni

HARAKATI za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutaka kuzima hoja za wapinzani jana nusura ziligharimu Bunge, baada ya Mwenyekiti wa Kamati namba tano ya Bunge Maalumu la Katiba, Shamsi Vuai Nahodha,...

 

11 years ago

Mwananchi

Profesa Tibaijuka azomewa

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka alipata wakati mgumu juzi jioni baada ya kuzomewa na wananchi waliokerwa na kitendo chake cha kubadilika na kumruhusu mwekezaji kuendelea kumiliki eneo la ardhi katika Shamba la Kapunga, Wilaya ya Mbarali, Mbeya.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Diwani azomewa kwa kashfa

DIWANI wa viti maalum (CCM) kata ya kalangalala mkoani hapa, Zaituni Fundikira, amejikuta akizomewa na wananchi baada ya kutoa maneno ya kashfa. Tukio hilo lilitokea jana katika mkutano wa hadhara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani