Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mugabe awashtumu wapinzani wake chamani

Rais Robert Mugabe amewalaumu watu fulani ndani ya chama tawala cha ZANU-PF kwamba wanapanga kumng'atua mamlakani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Mugabe azomewa na wapinzani

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amezomewa na wabunge wa upinzani alipokuwa anahutubia nchi kupitia bunge la nchi hiyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ni nani wapinzani wakuu wa Mugabe?

Chama tawala nchini Zimbabwe Zanu-PFklinafanya kongamano lake la kuchagua vigogo wa chama mwezi huu.

 

10 years ago

Vijimambo

Mugabe kwa wapinzani:'Sing'atuki ng'o!'-BBC

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amelaumu watu fulani ndani ya chama tawala cha ZANU-PF kwamba wanapanga kumng'atua mamlakani.

Akihutubia kongamano la chama hicho, Mugabe amesema kuwa kuna majaribio ya kuwahonga wajumbe kumpinga kama kiongozi, lakini wajumbe hawawezi kupokea hongo.

Kwa hilo amesema kuwa atapambana na rushwa ndani ya chamana kukabiliana na maafisa wa chama ambao kazi yao ni kutoa hongo.Wanachama wengi wa chama hicho wangali ni wafuasi sugu wa Rais Mugabe
Hasira ya Mugabe iliokana...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

Lissu awagalagaza wapinzani wake

JAJI wa mahakama kuu ya Dodoma jaji Seheni, ametupilia mbali maombi ya Jonathan Njau (CCM) ya kutaka apunguziwe gharama ya uendeshaji wa keshi ya kupinga uchaguzi nafasi ya ubunge dhidi ya mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu (Chadema). Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea).Katika kesi hiyo namba 1 ya mwaka 2015 Njau aliomba asitoe kiasi cha shilingi milioni 15 ambacho kipo kisheria

 

10 years ago

Mwananchi

CCM inatengeneza wapinzani wake yenyewe

Hayati Mwalimu Julius Nyerere aliwahi kusema: “Hakuna vyama vya upinzani vyenye uwezo wa kuing’oa CCM madarakani, upinzani wa kweli utatoka CCM, wenyewe kwa wenyewe watatofautiana kisha wataanzisha chama chao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Mugabe atimua mawaziri wake

Raisi Robert Mugabe wa Zimbabwe, amewafukuza kazi mawaziri wake wawili na manaibu waziri watano hatua ambayo imemkumba pia aliyekuwa makamu wake Joyce Mujuru.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mugabe amfuta kazi makamu wake

Rais Robert Mugabe amemfuta kazi makamu wake Joice Mujuru, kufuatia ushindani wa uongozi katika chama tawala cha ZANU-PF.

 

5 years ago

BBCSwahili

Trump asheherekea ushindi,awaponda wapinzani wake

Siku moja baada ya kuondolewa mashtaka dhidi yake Rais Donald Trump amewaponda wapinzani wake akiwaita maadui zake.

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Mugabe amfuta kazi makamu wake


Taarifa kutoka nchini Zimbabwe zinasema kuwa Rais Robert Mugabe amemfuta kazi makamu wake Joice Mujuru, kufuatia ushindani wa uongozi katika chama tawala cha ZANU-PF.

Awali Bi Joyce Mujuru, alikanusha madai kuwa yeye ni mfisadi na alihusika na njama ya kutaka kumuua rais Robert Mugabe.

Bi Mujuru alilaaniwa na Rais Mugabe wiki iliyopita na kuondolewa kutoka wadhifa wake wa makamu wa rais wa chama tawala cha ZANU-PF wakati wa kongamano la chama hicho mjini Harare.

Amesema ameendelea kupokea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani