Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MUHONGO ACHUKUA FOMU YA URAIS DODOMA

 Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Sospeter Muhongo akionyesha mkoba wa fomu baada ya kuchukua mapema leo jijini Dodoma. Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Sospeter Muhongo akiongea na waandishi wa habari mjini Dodoma mara baada ya kuchukua fomu ya Urais mjini humo kwa tiketi ya CCM

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Nyalandu achukua fomu ya kuwania urais wa tanzania mjini dodoma leo

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akionyesha mkoba wenye fomu za kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kukabidhiwa katika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Pembeni ni mkewe Bi. Faraja Nyalandu. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mara baada ya kuchukua fomu za kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Pembeni ni mkewe Faraja.Waziri...

 

10 years ago

GPL

JANUARY MAKAMBA ACHUKUA FOMU YA KUOMBA KUTEULIWA KUGOMBEA URAIS 2015 JANA DODOMA

Mbunge wa jimbo la Bumbuli, mjumbe wa NEC na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknologia, January Makamba  akisaini kuchukua  fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tukio hilo la uchukuaji wa fomu lilifanya katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma jana.… ...

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ATIKISA DODOMA,ACHUKUA FOMU YA URAIS,SASA SAFARI YA TANZANIA KUELEKEA KIPATO CHA KATI IMEANZA

Mh.Mwigulu akiwasili makao makuu ya CHAMA CHA MAPINDUZI mjini Dodoma kwaajili ya Kuchukua Fomu ya Kuwania Urais wa Tanzania mwaka 2015.Mh:Mwigulu akisaini kitabu cha Wagombea Urais kupitia chama cha Mapinduzi.Mh:Mwigulu Nchemba na Mke wake Bi.Neema Mwigulu wakifurahia kukabidhiwa nyaraka mbalimbali za kufanikisha mchakato wa Kutafuta Wadhamini Nchi Nzima kuelekea hatua ya pili ya Mchujo wa Wagombea Urais ndani ya CCM.Mwigulu Nchemba akimtambulisha Mke wake Bi.Neema Ngure kwa Umma wa...

 

10 years ago

Habarileo

Mgombea urais ADC achukua fomu

MGOMBEA wa urais kwa Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC), Chief Lutasola Yemba jana alichukua fomu ya uteuzi wa urais katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na kuahidi kuleta mabadiliko nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Mgombea CCK achukua fomu za urais

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Kijamii (CCK), Dk Godfrey Malisa, jana amechukua fomu ya kuwania nafasi hiyo katika Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC), ambapo aliahidi kufanya kampeni za uhuru, amani na utulivu.

 

10 years ago

GPL

MGOMBEA URAIS WA CHAUMMA ACHUKUA FOMU

Ofisa wa NEC, Adam Nyando (kushoto) akimkabidhi fomu ya urais, Hashim Rungwe. Ofisa wa NEC, Crecencia Mayalla (kushoto), akimpatia maelekezo mgombea namna ya kujisajili katika daftari la wagombea.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Lowassa achukua fomu za kuwania urais

Pilika pilika za uchaguzi nchini Tanzania zimeendelea huku Edward Lowassa, ambaye ni mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha Chadema na kuungwa mkono na umoja wa vyama vya upinzani nchini humo, UKAWA, akifika ofisi ya Tume ya Uchaguzi kuchukua fomu ya ur

 

10 years ago

Mwananchi

Mwingine achukua fomu za urais CCM

Kada wa CCM, Ritta Ngowi amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama kuwania urais katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba mwaka huu na kusema akifanikiwa ataanzisha kituo kikubwa cha kuwahudumia wastaafu, walemavu, wasiojiweza na vijana.

 

10 years ago

GPL

LOWASSA ACHUKUA FOMU YA URAIS CHADEMA

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akiwa katika meza kuu ya Chadema. WAZIRI MKUU wa zamani, Mhe. Edward Lowassa hivi punde amechukua fomu ya kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Lowassa amekabidhiwa fomu hiyo na Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe kwenye ofisi za Makao Makuu ya chama hicho yaliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam. Lowassa alijiunga rasmi na Chadema juzi akitokea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani