Mume 1 kati ya 10 hupigwa na mkewe Kenya
Mmoja kati ya wanaume 10 wa Kenya amepigwa na mkewe ama mpenziwe kulingana na utafiti wa kiafya.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TiGlW1XckRZY4hph6IvdhZeQwyqArALcSJBvDdFo6BSbJOrOF4FcvpEXL-c9qAi5YM8FS-Z1sYH5j4Ob*jqDetgDKNzGa3KF/mume.jpg?width=650)
UNDANI MUME KUMCHINJA MKEWE!
JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha linamsaka kwa udi na uvumba, muuza nyama jijini hapa, Lucas Lomayany Molel (37) mkazi wa Ilboru kwa madai ya kumuua mkewe wa ndoa, Agnes Lucas (24) kwa kumcharanga na sime kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kutokana na wivu wa mapenzi. Dada wa Lucas Lomayany Molel (37) anayesakwa kwa kumuua mkewe wa ndoa, Agnes Lucas (24), akiwa katika chumba kilichotumika kwa mauaji hayo. Chanzo cha habari...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/mapanga-1-002.jpg)
MUME AMCHARANGA MAPANGA MKEWE!
Ashura Ramadhani anayedaiwa kucharangwa mapanga na mumewe. Na Haruni Sanchawa WIVU! Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Abdallah, mkazi wa Gongo la Mboto, Ilala jijini Dar es Salaam, anadaiwa kumkatakata kwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili mkewe Ashura Ramadhani kwa kinachodaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Chanzo cha kuaminika kililiambia gazeti hili juzi kuwa Abdallah baada ya kufanya unyama huo, alikimbilia kusikojulikana...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/J9FGucqSAtFWkeYFn5Stq3CnKM5xsCBnYwwwUn6PovWKGHnAcOeJw-gXy59gas6gk6cRB6msZsIkkrCv5nq8AVlvSVMu1ZqM/FRONTAMANI.jpg)
MUME AMPIGA MKEWE AKISWALI
Stori:Makongoro Oging'
TUHUMA nzito ya aina yake ambayo haijawahi kutokea ambapo mkazi mmoja wa Tandale – Kwatumbo wilayani Kinondoni jijini, Idd Mpenda anadaiwa kumshambulia na kumjeruhi hadi kuzimia mkewe, Nasra Dafa (30) wakati akiswali. Bi. Nasra Dafa (30) aliyeshambuliwa na mume wake wakati akiswali. Akizungumza na Amani huku akimwaga machozi, mwanamke huyo alisema tukio hilo lilijiri Julai 28, mwaka huu saa saba...
10 years ago
BBCSwahili14 Feb
Amkodishia mkewe mume wa 'kumhudumia'
Chirope Mwaruwa anadaiwa kumkodisha mwanamume ili kulala na mkewe mjamzito akidai kwamba ana matatizo.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q7T2q86GkzXpzVxJ7j8q4hVIEmbW0EoR-ZBkLx9aztU51ndSzF0M2yslMWMe8bDWNE1jLxjwlqxUD4nQgxBhWed*MjbhECn4/nyuma.jpg)
MUME AFYEKA NYETI ZA MKEWE
UNYAMA wa kutisha! Gasto Edward (32) amemkata mkewe Mwelu Raymond sehemu zake za siri, Risasi Jumamosi lina simulizi hii ya kusikitisha. Tukio hilo lilitanguliwa na kumpiga mkewe huyo na kipande cha nondo kichwani hali iliyosababisha apoteze fahamu papo hapo na kutekeleza azma yake. Bwana Gasto Edward na mkewe ambaye anadaiwa kumkata nyeti zake. Imeelezwa kuwa, tukio hilo lenye sura ya majonzi, lililovuta hisia za watu wengi...
10 years ago
Habarileo19 Aug
Mume adaiwa kuua mkewe
MWANAMKE mkazi wa kijiji cha Tuombemungu Kata ya Ugunga wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, Mawazo Saidi, ameuawa kikatili.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MoQW6swxykXggs6Ez*GDgaViEpYuKK7OodLyCURQs401MzuJLByf**LkSfhgXtn4ZB4ZfvsYyfOoeTm4PUbEWeiQdSCIq4Km/FRONTUWAZI.jpg?width=650)
MUME ALIVYOMFANYIA UKATILI MKEWE
Na Hamida Hassan
HUU ni ukatili uliopitiliza! Mwanamke mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Neema Mwita, anateseka katika Hospitali ya Mkoa wa Mara kufuatia jereha kubwa alilopata baada ya mumewe aliyemtaja kwa jina la Juma Mwita kummwagia uji wa moto kisa kikiwa ni kuchuma mahindi shambani bila ridhaa ya mumewe huyo.Akizungumza na Uwazi huku akimwaga machozi kila wakati, mwanamke huyo alisema siku ya tukio, yeye na mumewe...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZFVQGyC-7KjlQvIjxlA6jimHCJJUEDAo9NnC86t-*UXddKd6v3LNL-GK7yxeyUTKJnaP3KQ*3YcV6WlYjsd7vwsiLKj0noDz/BACKUWAZI.gif?width=650)
MUME ALIVYOMUUA MKEWE KWA NYUNDO!
Na Mohemed Shabani, Manyara DUNIA inazidi kufikia ukingoni! Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Paulo Mahinda, 40, (pichani), mkazi wa Kijiji cha Ndaleta wilayani Kiteto, Manyara anatafutwa na jeshi la polisi wilayani hapa kwa madai ya kumuua mke wake, Mariam Samuel (45) hivi karibuni kwa kumpiga na nyundo kwenye paji la uso, pia kumjeruhi mtoto wake wa mwaka mmoja. Â Marehemu Mariam Samuel enzi za uhai wake. Taarifa za...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6xzDXLZEGuut8DlAVWczuc-qfZaOAz7a-0UB5V7Ne6AZbprBiLxA2DJXO4f*XBoGne1YbpXif9p6z5fR4wwbWp9XcFILEGAG/Kundra.gif?width=650)
MUME AMLIPUA MKEWE KWA PETROLI
Na Igenga Mtatiro, Butiama
Mwanamke mmoja, Kudra Janja mkazi wa Kijiji cha Bwai, wilayani Butiama mkoani Mara amelipuliwa kwa petroli na mumewe, Simon Otieno kwa kile kilichodaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi.Katika tukio hilo pia mtoto aliyejulikana kwa jina la Tatu Simon (1) alifariki dunia muda mfupi baada ya kuungua kwa moto katika unyama huo uliofanywa na baba yake mzazi. Habari kutoka katika kijiji hicho zinasema...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania