MUME JELA...
![](http://api.ning.com:80/files/6Yi1*KCqJUR8Bh3sRv8Vu1gvIdsxL4IpBqqnx*BmbNXRXVka8NFtf94OaztN95NJssx5Xkof4lto49UxhuXTsCowRC3oGa*2/aunty.jpg?width=650)
Stori: Mwandishi Wetu MASKINI wee! Habari za mjini zinadai kuwa, staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel yuko Dubai akiponda raha huku mumewe, Sunday Demonte akidaiwa kuwa jela jijini Abu Dhabi katika nchi za Falme za Kiarabu (UAE). Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel akiponda raha. Awali, ilidaiwa kuwa, Aunt aliondoka Bongo kwenda Dubai kuungana na mumewe katika ndoa, lakini vyanzo vya karibu vikahoji mumewe yupi? Mbona yuko...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo527 Nov
Mume wa Baby J yupo jela mwaka wa tatu sasa
![11910514_1643281142605929_1772135023_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11910514_1643281142605929_1772135023_n1-300x194.jpg)
Muimbaji kutoka visiwani Zanzibar, Baby J, amesema mume wake wa ndoa bado yupo jela mwaka wa tatu sasa.
Baby ameiambia Bongo5 kuwa mume wake alishikwa nchini Marekani ikiwa ni siku chache tu baada ya kufunga ndoa.
“Kweli niliolewa bahati nzuri au mbaya sikubahatika kukaa na mume wangu,” amesema. “Baada ya kuwa katika mazingira ya kuolewa ndani ya siku nne mume wangu akapata matatizo kule Marekani, akawa yupo jela. Kwahiyo bado yupo jela mwaka watatu huu, bado yupo kwenye matatizo.”
Jiunge...
10 years ago
Bongo Movies22 Mar
Iyobo Aonekana Mtaani na Nguo za Mume wa Aunty Ezekiel Amabae Yupo Jela
Gazeti la Kiu limetoboa kuwa Dansa wa Diamond Moses Iyobo amedaiwa kuanza kurithi mali za mume wa Msanii Aunty Ezekiel, Sunday Demonte Ambaye yupo Gerezani nchini Abu Dhabi akitumikia kifungo cha Miaka Kumi .
Mali anazodaiwa kurithi Iyobo ni pamoja na nguo anazodaiwa kuonekana nazo mitaani na kwenye Show za Diamond..Chanzo cha ndani cha gazeti hilo kinasema nguo hizo ni zile alizokwenda kuzichukua Aunty ezekiel nyumbani kwake nchini Dubai siku chache baada ya Demonte kusekwa Jela..
"Kuna...