Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili – 4
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
Mh! Wote tuliangaliana, lakini mimi moyoni nilikubaliana na madai ya Daniel kwa sababu ya ile hali iliyojitokeza pale kwenye shughuli. Yule mzee naye akatia neno lake, akisema:
“Ila mimi jamani nakubaliana na huyu kijana, Daniel. Ndiyo maana pale nilisema najua zaidi, mama ukaja juu ukitaka nikiseme hicho ninachokijua. Lakini ukweli ni kwamba, Daniel namfahamu, hawezi kukurupuka kutaka amrithi shemeji yake, wengine wangeweza.”
Mimi nikanyoosha mkono ili niseme,...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers07 Jan
Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili – 7
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
Kilichonifanya nimwangalie sana ni kwamba, huo wimbo aliosema aliwekewa na mume wangu, Bubu Hutaka Kusema mume wangu naye alikuwa akiupenda kupindukia, nikamshangaa sana huyu Tiaki.
“Shemeji,” nilimwita.
“Naam.”
“Mbona sikuelewi?”
ENDELEA NAYO SASA…
“Hunielewi kivipi shemeji. Kukuomba wimbo au?”
“Huo wimbo mume wangu alikuwa akiupenda sana. Lakini pia juisi ya ukwaju, mume wangu alikuwa akiipenda. Sasa nashangaa sana. Kwa nini kila kitu alichokipenda yeye na wewe...
9 years ago
Global Publishers24 Dec
Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili – 5
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
Nilianza kusali sala zote ninazozijua mimi huku nikiendelea kuangalia nje kwa ujasiri wa hali ya juu.
“Hujambo mama Kisu?” nilisalimiwa na mtu kutoka kushoto kwangu kwenye siti niliyokaa. Nikashtuka sana.
ENDELEA MWENYEWE SASA…
Niligeuka kumwangalia, nikamwona mwanaume mmoja, sura yake si ngeni hata kidogo lakini sikukumbuka nilimwonea wapi!
“Sijambo, mzima wewe?” nilimjibu.
“Mimi mzima, sijui wewe?”
“Hata mimi pia sijambo. Unatoka wapi, unakwenda wapi?”...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fXUwj8AcBIlkFoOtGIWi2WTrC-EbDaDZYf*VnfC038oJEfTUjJ4xVMbqPr7bAhphV222lSS034ADfWSENkyYLtK79hQri4oY/wananitesa.jpg)
MAMA: WACHAWI WANANITESA, WATOTO WANGU 8, MUME WANGU WAMEKUFA KWA UGONJWA WA AJABU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8l--NuzR*jGP9-7cwesnxrokm3yl3TcMgtAT86eCl2XaHIkLV2GfPmi4f0XnLrn5CaGkQGjhNAhiPEweGRIP87BiBcRZ5Jlm/shamsa.jpg?width=650)
SHAMSA: MSIMSOGELEE MUME WANGU!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mMRmJLLEzVGAQKXNOuPF0D7VJvzjYn5JGM4F-Hy6uQQNWU84j9ScNvsZLHEm34wNqrjAdygZ9NBPNNDmqT53zWYFx3qshgvY/2.jpg?width=650)
SHAMSA: SIJAACHANA NA MUME WANGU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tV6jtHhMLWyMu9OStupI-oHOEXcHngty*imrl6z0HZWHbkdt7RA-oC6knxzsVWLdJlWcuHdcC6SGlDng3eQ2oY7iUXn94ifz/DIVA.jpg?width=650)
DIVA: ZITTO NI MUME WANGU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8Kb*1kVFSTt1Be2bNCUmpWT0AjgDBK-45IUSC287ktT3PKACBZjE1EvEQ5gjapVoLcuMauF6luFmjry*0nQUXqNnnQt3qa3G/Kajala.jpg)
MKE: KAJALA NIACHIE MUME WANGU!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LXZYmTRupZ88*IDmPDfNK1YPesy-OTAdj9bEXIDxLP*TSMIJyYQ5JYk7esmXIOr1UDhD45brsEs7kjmKw2IwlRuxe9G532-F/Shamsa.jpg)
SHAMSA: NALALA NA MUME WANGU LOKESHENI
10 years ago
Bongo Movies09 Apr
Shamsa: Sijutii Kuachana na Mume Wangu
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Shamsa Ford amesema kamwe hatajutia kitendo cha kuachana na mumewe, Dickson.
Akiongea na gazeti la Amani Shamsa alisema kuwa kipindi chote wakati yupo kwenye uhusiano na mumewe huyo waliefunga naye ndo ya kimilia alikuwa akiteseka na kupata shuruba nyingi japo hakuwa tayari kuziweka hadharani.
“Sijutii kuachana na mume wangu, nimepitia mateso mengi, sikotayari kurudi japokuwa nina motto naye” Shamsa alisema.
Kwa sasa inadaiwa Shamsa anatoka na Staa wa...