Music: Abdu Kiba — Tototoo
Abdu Kiba ameachia wimbo mpya unaitwa “Tototoo” umetaalishwa katika studio za Mazuu Records Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-CDbPuBkpdqs/VXppv-0faJI/AAAAAAAATPo/2-SKNfIA8pE/s72-c/IMG_8684.jpg)
ALI KIBA NA ABDU KIBA WALIVYOWARUSHA WASHINGTON DC..WAKISINDIKIZWA NA AJ UBAO !
![](http://2.bp.blogspot.com/-CDbPuBkpdqs/VXppv-0faJI/AAAAAAAATPo/2-SKNfIA8pE/s640/IMG_8684.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-TLHpBTM-VN8/VXppzvt5WtI/AAAAAAAATQg/Q2KIP7dpSME/s640/IMG_8711.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-vKSD7mM66kI/VXppzO84QiI/AAAAAAAATQQ/LknsqisA5WE/s640/IMG_8706.jpg)
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
10 years ago
Michuzi10 years ago
Dewji Blog02 Jun
Ali Kiba & Abdu Kiba kuwarusha Live Washington DC Jumamosi hii tarehe 6
![](http://2.bp.blogspot.com/-wOB1bfQRNDs/VW059j1PcII/AAAAAAAATG4/6vu20bb0OCc/s640/Alikiba%2Bdc1.png)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-wOB1bfQRNDs/VW059j1PcII/AAAAAAAATG4/6vu20bb0OCc/s72-c/Alikiba%2Bdc1.png)
ALI KIBA & ABDU KIBA KUWARUSHA LIVE WASHINGTON DC JUMAMOSI HII MEI 6
![](http://2.bp.blogspot.com/-wOB1bfQRNDs/VW059j1PcII/AAAAAAAATG4/6vu20bb0OCc/s640/Alikiba%2Bdc1.png)
KWA MARA YA KWANZA SHOW YA AINA YAKE KATI YA WANA NDUGU WAWILI ALI NA ABDU KIBA ITAFANYIKA WASHINGTON DMV,JUMAMOSI HII PALE FIRE STATION 1, 8131,GEORGIA AVENUE,DOWN TOWN SILVER SPRING,VIP PACKAGE ZINAPATIKANA,FREE PARKING
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-wOB1bfQRNDs/VW059j1PcII/AAAAAAAATG4/6vu20bb0OCc/s640/Alikiba%2Bdc1.png)
ALI KIBA & ABDU KIBA KUWARUSHA LIVE WASHINGTON DC JUMAMOSI HII TAREHE 6
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-CDbPuBkpdqs/VXppv-0faJI/AAAAAAAATPo/2-SKNfIA8pE/s640/IMG_8684.jpg)
ALI KIBA NA ABDU KIBA WALIVYOWARUSHA WASHINGTON DC
9 years ago
Mtanzania21 Oct
Abdu Kiba: Ally Kiba kaniokoa
NA SHARIFA MMASI
MSANII wa Bongo Fleva nchini, Abdu Kiba, amedai kufanya kazi ya muziki na ndugu wa damu moja, kumemsaidia kutambulika haraka kwenye soko la muziki ndani na nje ya nchi.
Abdu Kiba anayeendelea kutamba na wimbo mpya wa ‘Ayaya’ aliomshirikisha Hellen Magashi ‘Rubby’, amesema ni fahari kwake kwa kuwa kazi yake ya muziki imepokelewa kwa urahisi.
“Kuna faida kubwa sana ya kufanya kazi na ndugu hasa anapokuwa na mashabiki wengi kama ilivyo kwa kaka yangu, Ally Kiba.
“Umaarufu wa...